Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Haya hayaaaa
Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi.
Amini usiamini hili ni tetemeko lingine litatokea maana ni boooonge la nyimbo, halafu lina booonge la video. Utamu zaidi Kibakuli humo ndani kapiga madongo kwa Domo, ngoja tusubiri tuone itakuaje maana Domo naye alituonjesha remix ya all the way up kukiwa na dongo kwa Kibakuli pia. Naona sasa bifu linaenda kuwa kubwa rasmiiiii
NB: Sina timu mieeee, mi nafaidi burudani tu maana nyimbo zote kwangu naona nzuriiii