Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Itungwe sheria na Bunge letu kuwa ni kosa kumfananisha DIAMOND PLATNUMZ NA vitu vya hovyo,ona tofauti hapa.

DIAMOND PLATNUMZ.

ANAYO STUDIO

ANAYO OFISI

ANAYO LEBO

ANAYO BENDI

ANAISHI KWAKE.

KIBA VYOTE HIVO HANA.
hahaha ni hatari
 
Nyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx

Jamani hivi huyu mtu ana akili kweli? Ndalichako yuko wap kukagua vyeti vya watoto hawa, Kati ya kiba na mondy nan nyimbo zake zinadumu?

Goooo kiba goooooo
 
Tuzo za befta uingereza zimetangazwa juzi mwana inacompete na kidogo ya juzi

Mwambie huyu asije akashangaa mwakani Kiba akaingia BET kwa mapenz yanarun dunia, maana nyimbo za kiba ni hatar haziishi utamu.
 
Kushindanisha nyimbo ya
BARAKA DE PRINCE(ameshirikisha AliKiba)
na ile ya
DIAMOND (ambayo kamshirikisha NE YO)

ni kumuonea sana BARAKA DE PRINCE au kumshushia heshima DIAMOND.
 
Nyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx

Naona kama unaongea Vice versa!

By the way! Hebu tupia nyimbo 2 tuthibitishe ukweli wako.
 
Mwambie huyu asije akashangaa mwakani Kiba akaingia BET kwa mapenz yanarun dunia, maana nyimbo za kiba ni hatar haziishi utamu.
Acha kufananisha BET na wasanii wako uchwara......kiba tuzo tuu za hapa bongo paka wema amsaidie
 
tunasubiri na kesho Meneja wao Sallam alete taharabu Instagram baada ngoma kuachiwa
 
Back
Top Bottom