Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza chuki mkuuNimesikiliza audio ni Mbovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu bora ya Jike shupa na Sisikii ya Maua Sama!!! Ngoja tusubiri video
Barakah anaimprove kila kukicha.. Huu wimbo utasumbua sana!!Timu Kibakuli: "Bongeeeeeee la Ngoma"
Timu Domo: "Nyimbo mbovuuuuuu"
Mimi: "Wimbo wa Kawaida"
Nani anajulikana dunia nzimaUkimlinganisha Domoli Na alikiba unakosea... Alikiba Huwa anatoa single 1 tu Ila Domoli anatokwa povu anatoa album[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo Nani mkali
Mwaka huu daimond ametoa nyimbo moja kidogo na alikiba ametoa nyimbo 2 lupela na aje acha kukurupuka kijana chuki imezidi uwezo wako wa kufikiriUkimlinganisha Domoli Na alikiba unakosea... Alikiba Huwa anatoa single 1 tu Ila Domoli anatokwa povu anatoa album[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo Nani mkali
Inategemea nini na wakati unaona nimezitaja hapo,au huoni .......??Inategemea na unamfananisha katika aspect gani
Hilo linaitwa dua la kuku.... Kwani ulitegemea kusikia nini?Nilisubiri hii ngoma kwa hamu sana ila daaaah nmeambulia dissapointment, kwa mwendo huu ngoma hii haiend kokote
yani mimi naweza sema ngoma sio mbaya ila watu wameshazoea nyimbo zakuumizwa tu kutoka kwa baraka kingine huyo dogo anaandikiwaga nyimbo na goodluck jamaa anamelod za kuliza sana kwa hii ameandika ye baraka ndo uwezo wakeNilisubiri hii ngoma kwa hamu sana ila daaaah nmeambulia dissapointment, kwa mwendo huu ngoma hii haiend kokote