Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Mwambie huyu asije akashangaa mwakani Kiba akaingia BET kwa mapenz yanarun dunia, maana nyimbo za kiba ni hatar haziishi utamu.
Mkuu mm nakuhakikishia kiba mwakani akiingia BET ile tuzo anaibeba kwa wanaojua kuzchunguza hizi tuzo wataelewa namaanisha kitu gan
 
Aiseee ni shabiki mkubwa wa hawa majamaa wawili ila wameniangusha mno...Wimbo wa kawaida mno bora Ali kajitaidi kuficha aibu ila Baraka kafanya kama amelazimishwa pengine alitaka kubadilisha style ila kaharibu kabisa bora angeimba style yake ile ile.

Yote kwa yote ngoja tuone video maana siku hizi Audio inabebwa na video kali.

Tuisubiri hiyo Kajiandae na Omari Dimpozi ila nayo wasije fanya kituko kama hii tukakosa pa kuziweka sura zetu maana wale wa kulima wa nyanya madale wana kelele mno
 
Mbona kila siku hawa tuu

Songa Nash Mc na Balozi wa Ghetto wanatoa kanda mseto kali lakini mitaa haina macho ya kuziona

Chaba na Jcb,...Umbwa na kadigo hawa ni wakali sana fungueni macho na upande huu

acha mambo yako kwani wewe nani alikushauri ufungue macho upande huo?!
 
Asee mi swez kbs kusapoti hii team kufeli, maneno meeeng vitendo vichache ... Asa huu wimbo na zlizopita mbn km amerud nyuma vle badala ya kusonga mbele. Au labd nikausikilize tena kwa kujilazimisha pengn maskio yangu
 
Mkuu mm nakuhakikishia kiba mwakani akiingia BET ile tuzo anaibeba kwa wanaojua kuzchunguza hizi tuzo wataelewa namaanisha kitu gan
Sio kama unavyofikiria tuzo ya bet kwa africa asilimia kubwa wanachukua wana hip hop na wana dancehal , wizkid na yemi alade wamekuwa nominated mara 4 mfululizo bila kuchukua tangu 2012 wapo nominated
 
Ally kiba sauti kwenye huu wimbo amefanya vizuri sana,amenifanya niusikilize mara nyingi sana kwa sauti yake tamu ya kuvutia.ila Baraka hakufanya poa sana ingawa hajaharibu sana kupitiliza.kiujumla wamefanya vizuri.nawapa 9/10
 
Inategemea nini na wakati unaona nimezitaja hapo,au huoni .......??

Sasa wewe umetaja vigezo vyako...Ulitakiwa kuwauliza hao wanaomsifia kuwa yeye mkali wanafananisha kwa vigezo vipi..Huwezi kuset vigezo mwenyewe kisha uwabishie wengine ambao nao wana vigezo vyao
 
Back
Top Bottom