Ingekuwa ngoma ya mond tusingelalaLupela ipo lupango imefungiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ngoma ya mond tusingelalaLupela ipo lupango imefungiwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wanasemaga ngoma za diamond hazidumuIngekuwa ngoma ya mond tusingelala
Kwani category za MTV mama zimetokaHata tunzo ya msanii bora africa hajawahi kuwepo leo awekwe BET? Mtv ana category moja mwenzie tano bado watu wanacompare hawa watu kweli?
Mama'ako ana tabia zipi ambazo mie ninazoWimbo hujausikiliza halafu unasema mbaya. Acha Umama
Wivu wa KIKEMama'ako ana tabia zipi ambazo mie ninazo
Cwezi muonea wivu baraka kwa wimbo km huu akamuombe msamaha lollypop aliokuwa anamtungie nyimbo nzuri labda ndo nitaanza ona wivuWivu wa KIKE
Hata tunzo ya msanii bora africa hajawahi kuwepo leo awekwe BET? Mtv ana category moja mwenzie tano bado watu wanacompare hawa watu kweli?
Kwahiyo unasema kiba ni mkali kuliko Mondi?Sasa tatizo ni nini?Huyu mbona analipwa hela nyingi za show kuliko kiba?Mbona anajaza watu kuliko kiba?Au watu hawajui mziki na wewe peke yako ndio unajua?Tatizo
Tatizo mnajidanganya na tuzo zenu hizo za kununua tuzo za biashara, ambazo hata wizkid alishawah kuziponda, tuzo zisizozingatia waledi wa mziki ndiomana mkipata nafas kwenda BET mnapigwa chin kila siku, sijui kama aliwah kujiuliza hilo swali.
Mziki wa Alikiba ni mziki formal unaofuata principle s za mziki zinazotambulika dunian kote, ndiyo maana iTunes, mtn kote kiba anabreak the internet, Aje imekuwa no 1 kenya kwa kununuliwa iTunes kati ya Top 100 songs na kidogo ikwemo, Aje imekuwa no 2 iTunes oman, No 1 diezer, no 5 Spotify, no 1 mdundo kenya, no 1 mkito Tanzania, na sasa ni top 5 ya nyimbo zinazoongozwa kuuzwa MTN Nigeria, hata huko BET ndiyo wanachoangalia, wala sio promo na kiki pamoja na sarakasi za kipuuzi,
By the way, Kuhusu mtv bado hawatoa nominations ila habar mbaya kwako ji kwamba King kiba ataperfon siku hiyo na msanii wako pendwa kapigwa chini.
Wewe kweli hamnazo wizkid na yemi alade wamekuwa nominated bet mara 4 mfulizo tangu 2016 hadi 2016 na hakuna alieshinda hata mara 1, wewe unazungumzia diamond aliekuwa nominated mara 2 kwa kipindi hicho, sasa kama wizkid hajashinda hata mara 1 bet na yeye ajui mziki basi wakina drake na chriss brown watakuwa vichaaTatizo
Tatizo mnajidanganya na tuzo zenu hizo za kununua tuzo za biashara, ambazo hata wizkid alishawah kuziponda, tuzo zisizozingatia waledi wa mziki ndiomana mkipata nafas kwenda BET mnapigwa chin kila siku, sijui kama aliwah kujiuliza hilo swali.
Mziki wa Alikiba ni mziki formal unaofuata principle s za mziki zinazotambulika dunian kote, ndiyo maana iTunes, mtn kote kiba anabreak the internet, Aje imekuwa no 1 kenya kwa kununuliwa iTunes kati ya Top 100 songs na kidogo ikwemo, Aje imekuwa no 2 iTunes oman, No 1 diezer, no 5 Spotify, no 1 mdundo kenya, no 1 mkito Tanzania, na sasa ni top 5 ya nyimbo zinazoongozwa kuuzwa MTN Nigeria, hata huko BET ndiyo wanachoangalia, wala sio promo na kiki pamoja na sarakasi za kipuuzi,
By the way, Kuhusu mtv bado hawatoa nominations ila habar mbaya kwako ji kwamba King kiba ataperfon siku hiyo na msanii wako pendwa kapigwa chini.
Mkuu huyu jamaa kwa maelezo yake wizkid na yemi alade hawajui mziki maana wamekuwa naminated bet mara 4 mfululizo alafu hawajashindaKwahiyo unasema kiba ni mkali kuliko Mondi?Sasa tatizo ni nini?Huyu mbona analipwa hela nyingi za show kuliko kiba?Mbona anajaza watu kuliko kiba?Au watu hawajui mziki na wewe peke yako ndio unajua?
Jike shupa Kali kuliko hiyoni booooooonge la song lakuamia dodoma ilo! na kukaribisha ukuta oct mosai
Mimi kapuku sina kitu,hata hii simu ninayotumia nimeazima.!Anaringa ni star,handsome,pesa anayo,kipaji anacho.
Wewe una nini?
Ngoja ikuje ndo utajuaImenaswa haijapenya
Ww jamaa liongo sana una uhakika na unachokisema mbona YouTube hutaji au kwenyewe haina kigezoTatizo
Tatizo mnajidanganya na tuzo zenu hizo za kununua tuzo za biashara, ambazo hata wizkid alishawah kuziponda, tuzo zisizozingatia waledi wa mziki ndiomana mkipata nafas kwenda BET mnapigwa chin kila siku, sijui kama aliwah kujiuliza hilo swali.
Mziki wa Alikiba ni mziki formal unaofuata principle s za mziki zinazotambulika dunian kote, ndiyo maana iTunes, mtn kote kiba anabreak the internet, Aje imekuwa no 1 kenya kwa kununuliwa iTunes kati ya Top 100 songs na kidogo ikwemo, Aje imekuwa no 2 iTunes oman, No 1 diezer, no 5 Spotify, no 1 mdundo kenya, no 1 mkito Tanzania, na sasa ni top 5 ya nyimbo zinazoongozwa kuuzwa MTN Nigeria, hata huko BET ndiyo wanachoangalia, wala sio promo na kiki pamoja na sarakasi za kipuuzi,
By the way, Kuhusu mtv bado hawatoa nominations ila habar mbaya kwako ji kwamba King kiba ataperfon siku hiyo na msanii wako pendwa kapigwa chini.
Tatizo