Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

kila nikimlinganisha kiba na diamond naona kama namkosea sana diamond coz kuanzia akiwa peke yke hadi akiwa ameshilikishawa kufunika KWAKE ni lazima, huyu kiumbe ni hatare sana anafanya hit hadi kwenye matangazo so kiba has a long way to go mpaka saiv sioni kama anafaa kushindanishwa na diamond kama tuu kashindwa hata kuipendezesha hii nyimbo cjui anasubilia kolabo gani nyingne
Nani anamshindanisha? Huu wimbo wa Baraka wewe unaleta habari za diamond... Utoto shida sana!!
 
Tatizo


Tatizo mnajidanganya na tuzo zenu hizo za kununua tuzo za biashara, ambazo hata wizkid alishawah kuziponda, tuzo zisizozingatia waledi wa mziki ndiomana mkipata nafas kwenda BET mnapigwa chin kila siku, sijui kama aliwah kujiuliza hilo swali.

Mziki wa Alikiba ni mziki formal unaofuata principle s za mziki zinazotambulika dunian kote, ndiyo maana iTunes, mtn kote kiba anabreak the internet, Aje imekuwa no 1 kenya kwa kununuliwa iTunes kati ya Top 100 songs na kidogo ikwemo, Aje imekuwa no 2 iTunes oman, No 1 diezer, no 5 Spotify, no 1 mdundo kenya, no 1 mkito Tanzania, na sasa ni top 5 ya nyimbo zinazoongozwa kuuzwa MTN Nigeria, hata huko BET ndiyo wanachoangalia, wala sio promo na kiki pamoja na sarakasi za kipuuzi,

By the way, Kuhusu mtv bado hawatoa nominations ila habar mbaya kwako ji kwamba King kiba ataperfon siku hiyo na msanii wako pendwa kapigwa chini.
MAPENZI yako kwa Ali Kiba ni ZAIDI ya Kidoti..!!!
 
Back
Top Bottom