Tatizo
Tatizo mnajidanganya na tuzo zenu hizo za kununua tuzo za biashara, ambazo hata wizkid alishawah kuziponda, tuzo zisizozingatia waledi wa mziki ndiomana mkipata nafas kwenda BET mnapigwa chin kila siku, sijui kama aliwah kujiuliza hilo swali.
Mziki wa Alikiba ni mziki formal unaofuata principle s za mziki zinazotambulika dunian kote, ndiyo maana iTunes, mtn kote kiba anabreak the internet, Aje imekuwa no 1 kenya kwa kununuliwa iTunes kati ya Top 100 songs na kidogo ikwemo, Aje imekuwa no 2 iTunes oman, No 1 diezer, no 5 Spotify, no 1 mdundo kenya, no 1 mkito Tanzania, na sasa ni top 5 ya nyimbo zinazoongozwa kuuzwa MTN Nigeria, hata huko BET ndiyo wanachoangalia, wala sio promo na kiki pamoja na sarakasi za kipuuzi,
By the way, Kuhusu mtv bado hawatoa nominations ila habar mbaya kwako ji kwamba King kiba ataperfon siku hiyo na msanii wako pendwa kapigwa chini.