Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Sasa wewe umetaja vigezo vyako...Ulitakiwa kuwauliza hao wanaomsifia kuwa yeye mkali wanafananisha kwa vigezo vipi..Huwezi kuset vigezo mwenyewe kisha uwabishie wengine ambao nao wana vigezo vyao
Mi sijataja vigezo,NIMEVITAJA VITU VINAVYOONEKANA KWA MACHO YA KILA MTU AMBAVYO DIAMOND ANAVIMILIKI NA AMBAVYO VINGI TU SIKUVITAJA NA ALIKIBA HANA NA HATA WEWE KAMA ULIKUWA HUJUI NDIO HUJUE KUWA KIBA HATOKAA KUMFIKIA DIAMOND HATA SIKU MOJA LABDA DAI AAMUE KUACHA TU MUZIKI NA SIKUMJIBU MTU.
 
Unaona sasa....Kumbe wewe unawafananisha kuhusu kumiliki vitu
 
WE ULITAKA NIWAFANANISHE KWENYE NINI .......... AU UNADHANI WANAFANYA MUZIKI ILI KUUZA SURA, WE WA WAPI ...........WANAFANYA MUZIKI ILI WAWE NA MAISHA MAZURI IZO ZINGINE NI MBWEMBWE TU. KAMA NI KUIMBA HATA BI KIDUDE ALIKUWA ANAIMBA TENA NA LIVE BAND,MWISHO WA SIKU MASHABIKI WANAANGALIA ANAMILIKI NINI ........KAMA NI SAUTI NZURI HAKUNA MSANII MWENYE SAUTI NZURI KUSHINDA HASSANI REHANI BICHUKA(DDC) TUNAANGALIA UNAINGIZA SH'NGAPI ......UNAMILIKI NINI .........UNA NYUMBA ZA THAMANI GANI NA NI NGAPI ...........UNAENDESHA GARI GANI ............ WE UNADHANI HIZI NI ZAMA ZA AKINA GURUMO UPO KWENYE MUZIKI MIAKA ZAIDI YA 30 KISHA HATA GARI HUNA ............. UNADHANI HIZI NIZAMA ZA KUSIFIWA SAUTI AU ............. KAMA NI SAUTI UNAMJUA MSANII MMOJA ANAITWA BUJU BANTONY WA JAMAICA, NIAMBIE ANA SAUTI GANI ????
 
Haya
 
Huu wimbo unadhiirisha usemi wa kiburi si maungwana.. Baraka takataka kama hii usingetuletea kama ungewapa heshima waliokuwa wanakutungia nyimbo zako.. Kampigie magoti mwandishi wako uliyemtusi au tukusahau kama Ommy Dimpoz.
tatizo la wasanii wa bongo hawataki kuukubali ukweli kuandikiwa sio tatizo
 
Kwa jinsi unavyo hanya kwenye thread nyingi kuhusu huu wimbo sio bure nahisi Baraka kuna kitu mbaya kakufanyia maana hautulii kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "Msamehe" tu.
Asante [emoji8]
 
Back
Top Bottom