tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
Hilo linaitwa dua la kuku.... Kwani ulitegemea kusikia nini?
Mkuu unafikiria kwa kutumia kiungo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linaitwa dua la kuku.... Kwani ulitegemea kusikia nini?
Tatizo dgo anakulupuka sana
Ndoujue kapuyanga AF m big fan of him ila apo katelezaKwa jinsi unavyo hanya kwenye thread nyingi kuhusu huu wimbo sio bure nahisi Baraka kuna kitu mbaya kakufanyia maana hautulii kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "Msamehe" tu.
anajalibu kuiga iga ila wapi af anadharau anasema hawa wakusema wameandika wanajitokeza tuBaraka hii nyimbo yake mpya hajaandikiwa na mwandishi akokuwa akimuandikia nyuma kwani alishawahi kukataa kuwa aandikiwi kumbe anaandikiwa,,,,, sasa new song yake baati mbaya hajaandikiwa ndio kaleta janga ilo jipya..... Am big fan of baraka ila uwez compare siwezi nauu ujinga
We unafurahia huu ujingaNatamani hiyo tarehe ngoma ya Diamond na Neyo iachiwe pia ili tuone mtanange wa viewers..!
Nadhani kazitaja.... me naongezea na tuzo za kimataifa+ aliyepiga shows nyingi duniani kati yao wawiliInategemea na unamfananisha katika aspect gani
Kweli kaimprove sana... Watu wa kuponda hawakosekani.. Angeendelea na stail ile ile bado wangeponda tu kwamba habadiriki!!Hii ngoma ni Kali.
Wote kwa pamoja wameimba kwenye temper ya juu, ni wasanii wachache wanaoweza hili.
Baraka kabadilika kiuimbaji tofauti na nyuma.
Ngoma naipa 9/10
Vitu vingine kama hujui jinyamazie tu,ili ulinde hadhi yako.Ulichokisema tu inaonyesha ni jinsi gani usivyofuatilia mziki.Ukimlinganisha Domoli Na alikiba unakosea... Alikiba Huwa anatoa single 1 tu Ila Domoli anatokwa povu anatoa album[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo Nani mkali
Mkuu utakuwa na tatizo binafsi na huyo black sio kwa povu hili.Ndoujue kapuyanga AF m big fan of him ila apo kateleza
Chizi hewaniHii ngoma ni Kali.
Wote kwa pamoja wameimba kwenye temper ya juu, ni wasanii wachache wanaoweza hili.
Baraka kabadilika kiuimbaji tofauti na nyuma.
Ngoma naipa 9/10
Duuu kumbe gozbet ndo alikua anamwandikia ila ki ukweli goodluck gozbet anamelody tamu na uandishi mzur sanayani mimi naweza sema ngoma sio mbaya ila watu wameshazoea nyimbo zakuumizwa tu kutoka kwa baraka kingine huyo dogo anaandikiwaga nyimbo na goodluck jamaa anamelod za kuliza sana kwa hii ameandika ye baraka ndo uwezo wake
Kushindanisha nyimbo ya
BARAKA DE PRINCE(ameshirikisha AliKiba)
na ile ya
DIAMOND (ambayo kamshirikisha NE YO)
ni kumuonea sana BARAKA DE PRINCE au kumshushia heshima DIAMOND.
Ivi we unatumia kipimo kipi kusema ngoma ya kidogo imejifia wakat mm mtaan kwetu kila Mara naisikia Mara bodaboda, bajaj, saloon, bar na mpk radio stations znaipig sana tu... Hay imejifia vp eb fafanua kidogBinafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G"
Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake
Kaka Ali yuko poa kwenye kuimba ila bado anahitaji kujiongeza kwenye ubora wa videos zake na jinsi ya kujibrand kama int'l artist!
All in all teams zisiaffect muziki wetu
We nid gud music to feed our souls!