Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
806
Reaction score
1,296
Haya hayaaaa

Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi.

Amini usiamini hili ni tetemeko lingine litatokea maana ni boooonge la nyimbo, halafu lina booonge la video. Utamu zaidi Kibakuli humo ndani kapiga madongo kwa Domo, ngoja tusubiri tuone itakuaje maana Domo naye alituonjesha remix ya all the way up kukiwa na dongo kwa Kibakuli pia. Naona sasa bifu linaenda kuwa kubwa rasmiiiii

NB: Sina timu mieeee, mi nafaidi burudani tu maana nyimbo zote kwangu naona nzuriiii

SW122.jpg
 
Natamani hiyo tarehe ngoma ya Diamond na Neyo iachiwe pia ili tuone mtanange wa viewers..!

Nakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
 
Nyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx
 
Nakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
Sidhan kama huyo msafi anaweza kuachia collabo yake na neyo kisa wimbo wa kiba na baraka. Ile collabo na neyo ni wimbo kwa ajili ya kuingia kwenye chati za billboard ati! Hata ukiusikiliza kidogo tu vile vpande vyake kwa mwenye ufahamu na nyimbo nzuri na zenye mlengo wa kutikisa sana ataelewa vema!
 
Binafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G"
Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake
Kaka Ali yuko poa kwenye kuimba ila bado anahitaji kujiongeza kwenye ubora wa videos zake na jinsi ya kujibrand kama int'l artist!
All in all teams zisiaffect muziki wetu
We nid gud music to feed our souls!
 
Collabo la Papa Wemba limepita hivi hivi,hata chorus nimeisahau
 
Binafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G"
Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake
Kaka Ali yuko poa kwenye kuimba ila bado anahitaji kujiongeza kwenye ubora wa videos zake na jinsi ya kujibrand kama int'l artist!
All in all teams zisiaffect muziki wetu
We nid gud music to feed our souls!
[emoji38] [emoji38] Big no...aiseeee
 
Nakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
ETI REMIX YA ALL THE WAY OUT HA HA HA HA HA WW UTAKUWA WA MKOANI
 
Nakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
all the way imeavhiwa tayar
 
Back
Top Bottom