Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Natamani hiyo tarehe ngoma ya Diamond na Neyo iachiwe pia ili tuone mtanange wa viewers..!
Hahahaha jf kuna vitukoNimeipenda iyo ngoma kabla sijaisikia ila mleta mada sijampenda hata kidogo.
Hapa tu..!humo ndani kapiga madongo kwa Domo,
Sidhan kama huyo msafi anaweza kuachia collabo yake na neyo kisa wimbo wa kiba na baraka. Ile collabo na neyo ni wimbo kwa ajili ya kuingia kwenye chati za billboard ati! Hata ukiusikiliza kidogo tu vile vpande vyake kwa mwenye ufahamu na nyimbo nzuri na zenye mlengo wa kutikisa sana ataelewa vema!Nakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
Una UHAKIKA na ulichokiandika..!?Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...
Collabo la Papa Wemba limepita hivi hivi,hata chorus nimeisahauBinafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G"
Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake
Kaka Ali yuko poa kwenye kuimba ila bado anahitaji kujiongeza kwenye ubora wa videos zake na jinsi ya kujibrand kama int'l artist!
All in all teams zisiaffect muziki wetu
We nid gud music to feed our souls!
[emoji38] [emoji38] Big no...aiseeeeBinafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G"
Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake
Kaka Ali yuko poa kwenye kuimba ila bado anahitaji kujiongeza kwenye ubora wa videos zake na jinsi ya kujibrand kama int'l artist!
All in all teams zisiaffect muziki wetu
We nid gud music to feed our souls!
ETI REMIX YA ALL THE WAY OUT HA HA HA HA HA WW UTAKUWA WA MKOANINakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....
all the way imeavhiwa tayarNakiona kitu kama icho...naamini lazima wcb na wao waachie nyimbo either same day au hata baada ya wiki moja ili kuizima iyo ya kibakuli..iyo collabo ya Neyo au remix ya all the way out lazima itaachiwa tuu....