Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,514
hahaha ni hatariItungwe sheria na Bunge letu kuwa ni kosa kumfananisha DIAMOND PLATNUMZ NA vitu vya hovyo,ona tofauti hapa.
DIAMOND PLATNUMZ.
ANAYO STUDIO
ANAYO OFISI
ANAYO LEBO
ANAYO BENDI
ANAISHI KWAKE.
KIBA VYOTE HIVO HANA.
Mkuu chuki za nini tena?utakuwa na bifu namimi tu,sio bureeeNimeipenda iyo ngoma kabla sijaisikia ila mleta mada sijampenda hata kidogo.
Nimeisikia mkuu,wengine tunakuwaga na bahati ya kuzisikiliza exclusiveHapa tu..!
Wewe umejuaje kuhusu hayo MADONGO..?
Tuzo za befta uingereza zimetangazwa juzi mwana inacompete na kidogo ya juziNyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx
Kiba apambane na Raymond na Harmonize kwanzaTuzo za befta uingereza zimetangazwa juzi mwana inacompete na kidogo ya juzi
SawaKiba apambane na Raymond na Harmonize kwanza
Ngoma na Neyo chakula cha bwana Mawee msanii wenu tumchunguzeDimondi usitoe nyimbo ngoja kibakuli apate air time kidogo maana unabana kila kona
Nyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx
Tuzo za befta uingereza zimetangazwa juzi mwana inacompete na kidogo ya juzi
Kiba mwisho wake kenya tuJamani hivi huyu mtu ana akili kweli? Ndalichako yuko wap kukagua vyeti vya watoto hawa, Kati ya kiba na mondy nan nyimbo zake zinadumu?
Goooo kiba goooooo
Ahahaaaaah...Tuzo za befta uingereza zimetangazwa juzi mwana inacompete na kidogo ya juzi
Nipo DiamondAhahaaaaah...
Ali Kiba..!
Upoooo..?
Nyimbo za kiba zinatangazwa saana,lakini zinapotea muda mfupi tu
Kumlinganisha kiba na Diamond ni sawa kulinganisha bajaji na Vx
Acha kufananisha BET na wasanii wako uchwara......kiba tuzo tuu za hapa bongo paka wema amsaidieMwambie huyu asije akashangaa mwakani Kiba akaingia BET kwa mapenz yanarun dunia, maana nyimbo za kiba ni hatar haziishi utamu.
Soma title ya hii post utapata jibu la swali lako!Kwani hiyo ni nyimbo ya kiba?