Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury hupewa mechi nyingi kubwa kule BT Sports.

Baraka Mpenja sio Mtangazaji mbaya ila anapenda sana kuongea mambo yasiyohusiana na Soka wakati anatangaza. Baadhi ya mapungufu yake ni kama ifuatavyo.

1. Kupenda kutaja baba yake anamsikiliza. Hii sio pointi. Ingekuwa kila Mtangazaji katika kila kipindi anamtaja Baba yake au Mama yake kwenye kila mechi/kila kipindi ingekuwa too boring. Aache hayo na kupenda kutaja kina Lawina Nsonda au wanamlipa nyuma ya pazia?

2. Akiona Mashabiki wanawake utamsikia Mashallah maua maua, huku akicheka cheka hovyo. Hii ni tabia mbaya. Inamuonesha sio mtu mwenye maadili lakini ni very unprofessional. Wengine ni wake za watu wapo uwanjani , hayo maneno anayotamka hayana connotation nzuri hata kidogo. Aache awe focused na kilichompeleka kutangaza.

3. Kutumia lugha/ maneno yasiyo na kichwa wala miguu. Utasikia nanunua pasi moja milioni moja, pasi milioni mbili, milioni kumi. Hayo maneno hayana mantiki. Ajikite kutaja idadi ya pasi na ubora wa timu sio kutaja figures zisizo make sense.

4. Aache kutaja masuala ya Siasa na Vyama akitangaza mpira. Kwenye mechi na Viwanja hata kama kuna CCM aachane na hayo maneno, hajui Wangapi hawana affiliation na hicho chama na wasingependa kukisikia.

Nasema ajifunze kwa Gharib Mzinga huyu ni very composed commentator. Tunaona kule Bundesliga, alivyotangaza AFCON 2021 na hata anavyotangaza mechi za CAF unaona alivyotulia.

Anajua kueleza matukio yaliyopo uwanjani, hatoki nje ya matangazo na hana lugha zisizofaa. Bahati mbaya naona Gharib hatangazi mechi za Ligi ya NBC but he is one of the best pale Azam TV. Mpenja ajitahidi kumuiga huyu mwenziwe.
Mi mwenyewe nilishalisema sana hili binafsi simkubali cuz sio proffessional ktk kutangaza soka ila anafosi tu.

Binafsi huwa namkubali sana ulamaa iddi salum kidedea, hashim ibwe na zaidi ni utangazaji wa Jesse john wa TBC alivyokuwa na mwalim kashasha. Pia AZAM waweke mtu wa mpira (pundit/ co-commentator) pembeni ya hawa commentator ambao hawajawahi kucheza soka katika level ya kitaifa au kimataifa.

Mfano mzuri kule ulaya utakuta peter drury anawekwa na andy townsend..andy townsend ni forner football player anaujua mpira na sheria zake so unakuta drury anatangaza then anampa nafasi andy townsend aelezee masuala ambayo ni technical jinsi game inavyoendelea the same tbc walikuwa wakifanya enzi za mwalim kashasha na jesse john
 
Upo sahihi, utukutu ukizidi unaharibu maana...!
 
Baraka Mpenja is the best..ajifunze tu kuchomekea data za maana kwenye mechi husika. Otherwise is still the best!
He is not the best at all... Wanashindwa kutambua kuwa kutangaza soka ni taaluma na ina ethics zake.Hawa ni watangazaji tu wa mchongo wanapewa dili watangazatangaze. Warejee kuwasikiliza watangazaji wakongwe kwenye hiyo tasnia...mfano mdogo tu Charles hillary wakati anatangaza epl miaka ya 2008-2010...alikuwa akitangaza kwenye redio una feel kama unaiona mechi na walikuwa hawana bla bla nyingi.

Wajifunze pia kwa top commentators wa epl kama kina peter drury, Jon champion, ian darke,Martin tyler,Alan smith, Rayhudson, Alan parry na wengineo.

Wasiwaige wale watangazaji wa kiarabu wa bein sports
 
Sio kila kitu umuige mzungu. Sisi waafrika tuna namna zetu za kuishi...
 
Haka kajamaa hakana lolote...kanatangaza kishabiki na kimahaba kabisa kwa timu moja wapo kati ya zile kubwa mbili.

Bora hata umemgundua na wewe. Huwa hajifichi unazi wake. Nadhani na yeye ana cha kujifunza kutoka kwa Ahmed Ally!
 
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury hupewa mechi nyingi kubwa kule BT Sports.

Baraka Mpenja sio Mtangazaji mbaya ila anapenda sana kuongea mambo yasiyohusiana na Soka wakati anatangaza. Baadhi ya mapungufu yake ni kama ifuatavyo.

1. Kupenda kutaja baba yake anamsikiliza. Hii sio pointi. Ingekuwa kila Mtangazaji katika kila kipindi anamtaja Baba yake au Mama yake kwenye kila mechi/kila kipindi ingekuwa too boring. Aache hayo na kupenda kutaja kina Lawina Nsonda au wanamlipa nyuma ya pazia?

2. Akiona Mashabiki wanawake utamsikia Mashallah maua maua, huku akicheka cheka hovyo. Hii ni tabia mbaya. Inamuonesha sio mtu mwenye maadili lakini ni very unprofessional. Wengine ni wake za watu wapo uwanjani , hayo maneno anayotamka hayana connotation nzuri hata kidogo. Aache awe focused na kilichompeleka kutangaza.

3. Kutumia lugha/ maneno yasiyo na kichwa wala miguu. Utasikia nanunua pasi moja milioni moja, pasi milioni mbili, milioni kumi. Hayo maneno hayana mantiki. Ajikite kutaja idadi ya pasi na ubora wa timu sio kutaja figures zisizo make sense.

4. Aache kutaja masuala ya Siasa na Vyama akitangaza mpira. Kwenye mechi na Viwanja hata kama kuna CCM aachane na hayo maneno, hajui Wangapi hawana affiliation na hicho chama na wasingependa kukisikia.

Nasema ajifunze kwa Gharib Mzinga huyu ni very composed commentator. Tunaona kule Bundesliga, alivyotangaza AFCON 2021 na hata anavyotangaza mechi za CAF unaona alivyotulia.

Anajua kueleza matukio yaliyopo uwanjani, hatoki nje ya matangazo na hana lugha zisizofaa. Bahati mbaya naona Gharib hatangazi mechi za Ligi ya NBC but he is one of the best pale Azam TV. Mpenja ajitahidi kumuiga huyu mwenziwe.
Mpenja mshamba hatari huyo ilibidi awe startv au redio free, ushamba wa umalila huko santilia haujamtoka, anatangaza taarabu na sio mpira, anaowataja wanampa miamala kama enzi za akina papaaa musofe, ndama mtoto ya ng'ombe enzi za ngwasuma, umempa ushauri mzuri sana kijana wa mangagu abadilike.
 
Kuna Mwamba anaitwa Abubakar Liongo huyu ni mkali ila amepuuza kutangaza mpira yupo ITV na Redio one Azam wangempata huyu this guy ni potential sana, zile mara chache alizotangaza zamani bado nazikumbuka sana.

Imagine mwamba kama Seleman Semujju atangaze mpira na sauti lake amazing
 
Bakhresa mbahili ...anataka aue ndege wawili kwa jiwe moja!!! Yaani huku ufanye kazi nyingine za media kama mwanahabari then pia utangaze na mpira
 
Acha awe yeye asifanane na mwingne hayo ulioandika ndio utambulisho wa mpenja
 
Binafsi huwa nampenda yule mtangazaji ambaye anatangaza huku anatoa taarifa za mchezaji au historia fulani. Hii huwa inatusaidia kufahamu historia kidogo ya mchezaji husika. Pia, inaonesha mtangazaji huyo yupo siriasi na kazi yake, yaani anaumiza kichwa katika kutafuta taarifa.

Kwa mfano, mtangazaji wa Azam aliyetangaza mechi ya jana kati ya Simba na US Gendermarrie alinisaidia kujifunza kitu kuhusu soka la Niger, kwamba, timu nyingi zinamilikiwa na taaasis au makampuni, mfano US Gendernarrie inamilikiwa na jeshi la mgambo la kule Niger.

Tafsiri yake ni kuwa, timu ikimilikiwa na serikali au makampuni inakuwa haina njaa kali sana. Utaratibu huu ulitumika hapa Tanzania enzi za mwl Nyerere ambapo taasis za serikali ndizo zilikuwa zinamiliki timu au vikundi vya sanaa, na wachezaji walikuwa ni waajiriwa wa shirika husika, mfano timu ya Bandari Mtwara, Reli Kigoma etc.
 
mtangazaj kam uyo ,dawa una mute tu television ama kuweka headphones uskilize music uku unatzam mpira mana hakun atakach kuongezea kwny ubong wako kuhus football zaid y makelel!
 
Mpenja inabadi aongeze kuzungumzia takwimu na facts ..sio blablah nyingi..
Na fact hana kabisa mpenja ni zero,,
Huyu mleta mada ana hoja nzito gharib mzinga kijana ana fact mno,
Mpaka mpira anaotangaza uishe kashakupa fact tano kumi kuhusu hio mechi au wachezaji waliohusika..
 
Mpenja anaamsha amsha zake , anavyotia bwembwe utadhani mechi ni Kali sana au kubwa mno .

Sauti yake pia inaendana zile amshaamsha za uwanjani, Majina mengi ya utani yametoka kwa Mpenja . Kuna video ya mechi ya Simba ilitrend Zambia wakifuatilia jinsi mpenja anavyowasifu kina Bwalya.

Ila apunguze mambo mengi ,mengine hayana maana
 
Unajua Mpenja tangu asifiwe anajiona yeye ndio kila kitu
 
Mm ni seme tu utopolo acheni malalamiko kwa mpira wetu. Mmeanza na TFF,mkaenda kwa marefa na sasa kwa watangazaji. Mpenja anapotangaza mpira huwa anatafsiri sana vitendo vya mchezaji uwanjani. Chukulia anaposema "Mpira ni kazi rahisi sana kwa kumuangalia Chama anavyocheza" kauli hii wengi waliunganisha na namna Nchimbi anavyohangaika uwanjani na kuona Mpenja anawasema wachezaji wa Yanga. Hata sasa namna Yanga wanavyokimbizana uwanjani utazani ni vita fulani au hurricane na storm kubwa sana inakuja,wachezaji hawana utulivu,paniki,kelele,na ujinga mwingi uwanjani. Eti mayele mwenye goli 6 kwao ndio habari ya mjini na ni level nyingine huku ameachana goli moja tu na kagere. Mayele atazidiwa magoli na Kagere na Boko.
 
Duuuuh mkubwa mbona umeenda kushoto na hoja mezani au ndio umeamua kuendana na 'username' yako!?.
 
Kuna yule mtanagazaji wa Azam Tv rlwa Dodoma, Nurdin Seleman nadhani yuko vizuri sana japo huwa hatangazi mara kwa mara
 
Duuuuh mkubwa mbona umeenda kushoto na hoja mezani au ndio umeamua kuendana na 'username' yako!?.
Mm nimechangi sio kwa kuangalia galada,nimeangalia tone ya author ni sadness and grief. Yanga ndio timu yenye wanawake wabaya na wasio na mvuto,sijajua tatizo vijora vya jezi zao au kitu gani ila hata sura zao ni chafu na Mpenja hajawahi kuwasifia, tofauti na Simba yenye mahuraini na warembo wa world class.
Lakini pia Yanga na mashabiki wao ndio watu wa kulia lia kwa hoja mfu kama hii.
Mpenja akitangaza kama mzungu wao anavyotangaza game basi angekuja na mada MPENJA ACHA KUIGA,TENGENEZA UNIQUE YAKO e.t.c. Uzi huu ni wakiduanzi na hauna afya kwa mustaghbari wa soka letu hasa waandishi na watangazaji. Mpenja amekataa kumtumikia kafiri GSM na wamebaki na bubs tu
 
Back
Top Bottom