MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Ulikuwa white house au ubalozin?all in all vp Tarimo,Mussa.Gharib mzinga alikuwa vizuri tangu tupo shule pale mahiwa high school Lindi, aliupenda Mpira kuliko chochote..Ilikuwa kabla hatujaingia class asubuhi tunakaa nje huku tunaota jua la asubuhi tunabishana maswala ya Mpira na yeye alikuwa anajua kuuchambua na ana kipaji cha kuhadithia matukio hata ya miaka ya 90
Kupitia yeye nimeamini ukipenda kitu na kuamua kukipambania lazima ufanikiwe.Kila mechi anayotangaza namcheki na kumtia moyo apambane zaidi,ili awe mbali zaidi..napenda mafanikio yake