Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Upete anachonifurahisha ni utaalamu wa lugha mbalimbali

Mpenja naye yupo vizuri tena sana tu kila mtu ana play role yake kwa nafasi yake
Mlimkuwa mnawasikiliza kupitia channel gani?

Binafsi kwenye mpira Mimi DStv huwa nawaelewa English commentators tu, hawa waswahili tukutane kwenye kisimbuzi cha Azzam ligi kuu tu.
 
Wote hao watasubiri kwa Ayubu Mzinga,
Huyu upete kuna Wakati najiuliza anatamkaje majina ya watu?? Au kujua mchezaji flan ni wa team gani..
Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, história ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibu
 
Thank you… Afcon tulienjoy mnoo, anajua alafu hachoshi.
 
Back
Top Bottom