Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Upete ni mtoto na dogo mmoja tulie mpokea SAUT ambae hajui kitu lakini anajiona anajua ni mjivuni na mwana ccm hoyeeee ndio maana alipata kazi tibisiiiii mara tu baada ya kumaliza chuo akampeleka na mtakao makubwa ndugu oscar Nickson

Upete ni 0 na hajui kitu
 
Binafsi huyu upete nimemskia kwenye hii michuano Ila anajua, alaf atakua mzanzibari kama sikosei.

Hatumii nguvu nyingiiii na anawajua wachezaji mmojammoja
Kila mmoja abaki kucheza ligi yake na wachambuzi wake na watangazaji wake na mtazamo wako, itoshe kusema hata mimi nilimwelewa Upete, alikua akija mtu mwingine km Chacha sikuelewi kabisa gemu akishika Upete najua hapa Leo naenda kucheka huku naangalia ball napata burudani mbili kwenye jukwaa moja kwa wakati mmoja 😂
 
Nafikiri ni kwasabau hakikua sawa kile kiarabu.
😂 Jamaa alikua akichezesha ulimi tu yaan utaelewa wewe, Ila waarabu walimwelewa anamaanisha nini tusio waarabu tulitoka kapa
 
Huyo dogo mnampa hype sana ila bado ni mtangazaji wa hovyo, kelele na maneno mengi ambayo hayana maana kabisa.

Yeye na baraka wana utofauti gani, au kile kiarabu cha uongo na kweli?
Huyu dogo hamna kitu kabisa anatangaza boli kama anawatangazia watoto wa shule ya msingi....anaongeaga pumba tupu
 
Upete ni mtoto na dogo mmoja tulie mpokea SAUT ambae hajui kitu lakini anajiona anajua ni mjivuni na mwana ccm hoyeeee ndio maana alipata kazi tibisiiiii mara tu baada ya kumaliza chuo akampeleka na mtakao makubwa ndugu oscar Nickson

Upete ni 0 na hajui kitu
"Wivu humuua mtu mjinga" -Fid Q.
 
Write your reply...jamaa yukoo njema
SAUT MWANZA product. ni kijana mdogo anajua.
mwaka jana anatangaza fainali ya kombe la Fawasco pale Raila odinga anakuambia..
" yeah naona watu wamemiminika hapa uwanjani aiseee hadi namuona mama watoto wangu naye yumo hapa"

lets appreciate wivu hautakiwi. jamaa yuko humble. mitaa ya jioni utamkuta banda la mpira la old Trafford mitaa ya Nyamalango.

wenye hate kaeni kule
 
Upete namfaham zaidi ya unavyomfahamu kwa sababu nimempokea mwanza na nimekua nikimshauri mengi

Nimeandika nikimfahamu tabia yake vyema
Kuna mengi yake hajui ila tabu yake anakazana kwamba anajua

Upete alikua haangalii soka old trafford upete alikua anatazama soccer city
 
Mimi namkubali Sana upete yaani mechi alizotangaza yeye kombe la dunia zilikuwa na burudani ya namna yake...hasa fainali
Jamaa anaweza sana
 
Upete namfaham zaidi ya unavyomfahamu kwa sababu nimempokea mwanza na nimekua nikimshauri mengi

Nimeandika nikimfahamu tabia yake vyema
Kuna mengi yake hajui ila tabu yake anakazana kwamba anajua

Upete alikua haangalii soka old trafford upete alikua anatazama soccer city
Ni Kama unakaroho ka wivu...kwani ww unajua kila kitu?
 
Upete ni mtoto na dogo mmoja tulie mpokea SAUT ambae hajui kitu lakini anajiona anajua ni mjivuni na mwana ccm hoyeeee ndio maana alipata kazi tibisiiiii mara tu baada ya kumaliza chuo akampeleka na mtakao makubwa ndugu oscar Nickson

Upete ni 0 na hajui kitu
Punguza chuki za kishamba jamaa
 
Back
Top Bottom