Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, história ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibu
Kwangu huyu ndiyo bora kuliko wote ajabu hazungumzwi kabisa na wadau.
 
Mpuuzi huyo jamaa anatangaza kimahaba na ushabiki kupitiliza nashindwa kuelewa kama kombe la dunia ilikuwa vile je akija kwenye ligi kuu mfano ataweza kweli kuhimili kuficha mahaba kwa timu yake??
 
Hiyo ya kufahamu historia umejichanganya mzee, ukienda gugo ukisachi jina la mchezaji itakuelezea timu zote alizowai kuchezea pia umri na uraia wake hata na timu ni vilevile
 
Huyo dogo mnampa hype sana ila bado ni mtangazaji wa hovyo, kelele na maneno mengi ambayo hayana maana kabisa.

Yeye na baraka wana utofauti gani, au kile kiarabu cha uongo na kweli?
 
Back
Top Bottom