Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza chuki za kishamba jamaa
Ni Kama unakaroho ka wivu...kwani ww unajua kila kitu?
Pinga kwa maneno ya staha tu siyo kumpiga kwa maneno ya chuki namna hiyoMbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
Sorry mkuuAcha ukengerema
Mbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
Punguza makasiriko mkuu.. jamaa anajua kutangaza mpira na anakufanya utabasamu na vionjo vyake.Upete namfaham zaidi ya unavyomfahamu kwa sababu nimempokea mwanza na nimekua nikimshauri mengi
Nimeandika nikimfahamu tabia yake vyema
Kuna mengi yake hajui ila tabu yake anakazana kwamba anajua
Upete alikua haangalii soka old trafford upete alikua anatazama soccer city