Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Shida siyo internet, shida je, upo tayari kufuatilia, kusoma na kuleta maana inayoeleweka?Internet unapata unachotafuta.
๐๐๐๐kabisa sio kutuambia Serbia ni Scandinavian countryInternet unapata unachotafuta.
Picha?Sauti yake na mwili havifanani..au macho yangu?
Mlimkuwa mnawasikiliza kupitia channel gani?Upete anachonifurahisha ni utaalamu wa lugha mbalimbali
Mpenja naye yupo vizuri tena sana tu kila mtu ana play role yake kwa nafasi yake
Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, histรณria ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibuWote hao watasubiri kwa Ayubu Mzinga,
Huyu upete kuna Wakati najiuliza anatamkaje majina ya watu?? Au kujua mchezaji flan ni wa team gani..
Thank youโฆ Afcon tulienjoy mnoo, anajua alafu hachoshi.Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, histรณria ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibu
Kuna mtu aliirusha kwny uzi fulaniPicha?
Ni kweli. Me nilivyokuwa namsikiliza nilijua ni mzee kabisa. Kumbe bado kijanaSauti yake na mwili havifanani..au macho yangu?