Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

Wapi picha zao nasie wa Nyakibimbirii tuwajue hata kwa picha tu???
 
Punguza chuki za kishamba jamaa

Mbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
 
Ni Kama unakaroho ka wivu...kwani ww unajua kila kitu?

Acha ukengerema

Mbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
 
Mbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
Pinga kwa maneno ya staha tu siyo kumpiga kwa maneno ya chuki namna hiyo
 
Acha ukengerema

Mbona mnanipinga wakati siwapingi? Nyie mnatoa maoni ya mnavyomfahamu kwani umeona nawapinga nyie kenge gani mnaotaka mawazo yakiyo vichwani mwenu yawe kwa wengine?
Sorry mkuu
 
Punguza makasiriko mkuu.. jamaa anajua kutangaza mpira na anakufanya utabasamu na vionjo vyake.
Hayo mapungufu mengine ya kibinadamu kila mtu anayo,ukweli unabaki palepale mwamba anajua kutangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…