Baraka Mpenja hujapata 'connection' ya kutangaza Kombe la Dunia?

Acha wivu mkuu dah kwani ujui kuwa mpenja Ni msomi wa udsm kuliko hata huyu gharibu wenu

Mpenja amefanya mpira wa bongo uwe na ladha na kufatiliwa Mbna hamna roho mbya hvyo
Kijna wa watu han kosa analisha familia yake kwa kelele zake

Hata Kama DStv wamembania ila iko siku watamtafuta
 
N
Ila Kitenge hana mvuto kabisa kwenye kutangaza soka siku akitangaza yeye anaboa Sana, hana details za wachezaji, hajui kuchambua, sijui kwanini watu competant huwa hawapati fursa kama hizi.
Ni kama alivyo mpenja… gharib mzinga baba lao
 
Unadhanj usomi ndio kujua kitu na elimu zenu hizi za kukariri GPA. Baraka sio level ya DSTV msikilize vyema lina katangaza mpira vizuri na kisayansi zaidi ya ujinga tu. Hana ubunifu kbs katika utangazaji wake.
Acha wivu na chuki
 
Hana maisha marefu kwa nini???ko unamuombea mwenzio afukuzwe kazi then watoto wake utalisha wewe?acha hizo bhna..
Inasikitisha Sana mkuu ,mtz Yuko radhi kuweka fitina kwa mtu afukuzwe kazi
 
Naunga mkono hoja,Mzinga namwelewa sana

Huyo Mpenja hata kibongo bongo hafai nashangaa ambao huwa wanapenda utangazaj wake huwa nawaona kama watoto
Mpenja Ana mchango mkubwa tu kwaligi hi mm nakuambia kijan wa watu Hana makuu maskni maonevu na wivu wenu
 
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu

Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe

Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi
Watu wana wivu sana aisee. Mpenja yuko vizuri.
 
Write your reply..hawa watu siwazuri kwako mpenja kwanini wajadili kibarua chako, kumbuka penye riziki pana fitina wanaanzaga hivyohivyo mwisho wanakuroga, uchawi wa kazi unaujuwa, majungu we angalia fanya tathimini nijibu dogo.
 
Kusoma UDSM ndio kuwa na akili? Mpenja hajui kutangaza mpira ni mpayukaji na mropokaji. Haujui hata mpira kutangaza msikilize Baruani Muhuza utajua. Mpira una historia yake sijui Yanga wanapiga pasi ya milioni moja eti mara pasi ya milioni mbili. Huyu hana standard za kutangaza mpira huyu ropo ropo. Kujitapa kila mara. Sijui ulikuwa umeshafika duniani zama za akina chazi Hilary na Omary Jongo wanatangaza mpira?! Au Chisunga Steven ama Kipozi. Huyu hajui
 
Kajichanganya nmeskia ila awe mtulivu tuu atapotea
Azam content yao kubwa ni mpira sasa na wewe umeajiriwa uanzisha online tv content ni mpira materials unachukua kutoka hapo hapo kazini. Shida tunafanyakazi kwa mazoea ujinga huu akafanye Citizen tu hapo kenye. Ama CNN muulize yule mtangazaji nguli wa Kenya alichokipata.
 
Azam tv na Dstv ni SAULI na NEW FORCE (washindani), wakati Dstv na hizo efm, wasafi, clouds ni sawa na SAULI na NANGA BOY hizi za MASAKI - SIMU 2000, hawana shida kabisa.
 
Mmmmh hii si sawa, mie napenda baraka atangaze sauti ya Radi.
 
Huu sasa uchawi khaaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…