Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
BARAKA.JPG

Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa

Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi

Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed) wakati tunaambiwa kuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ilikuwa inatawaliwa na serikali ya Waarabu ikiongozwa na Mohamed Shamte?

Na ubaguzi wa Waarabu ndio uliopelekea hadi mapinduzi kufanyika?

Ama Shamte alikuwa mweusi? Inawezekana vipi Serikali ya Waarabu wabaguzi ikaoangozwa na mtu mweusi? Maana Shamte ndio alikuwa kiongozi mkuu wa Serikali, yaani ilikuwa na mfumo wa Serikali kama wa Uingereza

Ama hao Waarabu hawakuwa wabaguzi kweli kama tunavyoaminishwa?

Maana ni kama uambiwe Serikali ya makaburu Afrika Kusini ilikuwa ya kibaguzi ila Rais wao alikuwa mweusi...lazima ujiulize maswali
 
HISTORICAL SPEECH BY FIRST PRIME MINISTER OF ZANZIBAR MOHAMMED SHAMTE HAMAD DECEMBER 10,1963​

Tomorrow June 3nd , Tanzania will release the draft of the New Constitution while the aspirations of the people of the Zanzibar is self determination to have government of People of Zanzibar with full Indipendence.
There is no small voice with out representation , Listen to the Speech of First Prime Minister of Independent Zanzibar Honorable Mohammed Shamte.

Photo : Mohamed Shamte Hamadi (far right), with other prominent Zanzibari politicians

Did you really have to go there, let alone remind those of us still seeking inspiration, that lack of political models leaves us holding onto to corpses for inspiration?

Did you have to be so cruel at a time when the majority of us are desperately seeking in every which way for better political models and sane leadership throughout all corners of what is left of the Zanzibar Republic?

When in reality, all that everyone of the leading politicians, post colonial vanguard and regional groups that had emerged after independence, ever wanted was to become Tanzanized versions of little Europeans aka Bwana Kubwas Nyerere at the expense of real Uhuru, freedom, better governance, justice and equity for all.

The bottom line is that, the people who ended paying the highest price and continue to do so, are the ordinary Zanzibari, given their current collective abysmal state of life 50yrs after this cold war Aka Union , as well as since Jamnuary 12 when impunity won the day

Source : HISTORICAL SPEECH BY FIRST PRIME MINISTER OF ZANZIBAR MOHAMMED SHAMTE HAMAD DECEMBER 10,1963

Zanzibar Prime Minister Mohamed Shamte at UN in December 1963 when Zanzibar accepted as member of the United Nation by the general council.

So hiyo speech yake
 
3nd, 4nd, 5nd, 6nd, 7nd, 8nd, 9nd, 10nd.
Hakielimu mpo hapo!
 
View attachment 2266924

Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa

Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi

Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed) wakati tunaambiwa kuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ilikuwa inatawaliwa na serikali ya Waarabu ikiongozwa na Mohamed Shamte?

Na ubaguzi wa Waarabu ndio uliopelekea hadi mapinduzi kufanyika?

Ama Shamte alikuwa mweusi? Inawezekana vipi Serikali ya Waarabu wabaguzi ikaoangozwa na mtu mweusi? Maana Shamte ndio alikuwa kiongozi mkuu wa Serikali, yaani ilikuwa na mfumo wa Serikali kama wa Uingereza

Ama hao Waarabu hawakuwa wabaguzi kweli kama tunavyoaminishwa?

Maana ni kama uambiwe Serikali ya makaburu Afrika Kusini ilikuwa ya kibaguzi ila Rais wao alikuwa mweusi...lazima ujiulize maswali
Mohamed Shamte pamoja na kuwa waziri mkuu wa serikali iliyopinduliwa 12 January 1964 ,hakuwa mwarabu.Mwanzoni alikuwa ASP lakini 1959 ulitokea mgogoro akajitoa na kuunda ZPPP.Uarabu hata wa Sultan Jamshid mwenyewe ulishakuwa wa kichotara ni vile uarabu ukitumika kuwabagua wazanzibari walio wengi.Ni siasa za ghiriba zilizoigubika Zanzibar baada ya
Mapinduzi ya 1964.
 
Haijambo umelielewa hili. Kinachotumika Sasa ni kile cha "mpe mbwa jina ubaya ili umuue". Kuna siku jamii itaamka kutoka usingizini na kuwaambia wanaosambaza kasumba kwamba hawasemi kweli.
 
Mohamed Shamte pamoja na kuwa waziri mkuu wa serikali iliyopinduliwa 12 January 1964 ,hakuwa mwarabu.Mwanzoni alikuwa ASP lakini 1959 ulitokea mgogoro akajitoa na kuunda ZPPP.Uarabu hata wa Sultan Jamshid mwenyewe ulishakuwa wa kichotara ni vile uarabu ukitumika kuwabagua wazanzibari walio wengi.Ni siasa za ghiriba zilizoigubika Zanzibar baada ya
Mapinduzi ya 1964.
Kwa hiyo hakukua na ubaguzi kiasi kile kweli
 
Mleta mada haya mambo waulize kijani.

Ila hawa machotara waendelee kuwa raia wa kawaida tu wakipewa kutawala tena hicho kisiwa wamatumbi wa omani watalimia meno.

#MaendeleoHayanaChama
Screenshot_20220621-182208_Google.jpg
 
Back
Top Bottom