BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Muhammad Shamte ubini wake ni MBONDE na mbonde ni wandengereko kutoka Rufiji
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hakukua na ubaguzi kiasi kile kweli
Kwani Zanzibar kuna 'clanism', kama ilivyo Somalia?
Hili ni swali 'genuine', naomba kuelimishwa.
Tunaongelea Zanzibar, hapakua na mazingira hayo..somalia pia ni dini moja lakini wako vitani zaidi ya miaka 30.
Kwa wakati ule (1964), mbali ya Usultan, na pengine 'heritage' zao, wengine wakiwa na uOman zaidi na wengine kujiona weusi (waafrika) zaidi, sioni tofauti zaidi ya hizo...kwa uelewa wangu Znz hakuna "clanism" kama ilivyo kwa Somalia.
..lakini walikuwa na matatizo ya kijamii na kisiasa yaliyopelekea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964.
..they need to look at themselves internally ili kubaini tatizo lao lilikuwa ni nini
So ni nini exactly kilichochochea yale mapinduzi ya 1964?Kwa wakati ule (1964), mbali ya Usultan, na pengine 'heritage' zao, wengine wakiwa na uOman zaidi na wengine kujiona weusi (waafrika) zaidi, sioni tofauti zaidi ya hizo.
Hii 'heritage' ya uOman' imewashikilia sana hadi hii leo.
Usisahau, enzi zile "kupindua serikali" kwa sababu mbalimbali lilikuwa ni jambo la kawaida sana.So ni nini exactly kilichochochea yale mapinduzi ya 1964?
Tunaongelea Zanzibar,hapakua na mazingira hayo
Fuatilia nyendo za okello,ulikua mpango wa muda mrefu,wafanya mapinduzi wengine walikua wakata mkonge toka tanga,walipelekwa usiku,baada ya mapinduzi Askari wa tanganyika ndiyo wakimlinda karume,miezi mitatu baadae muungano,inadaiwa anayebebeshwa umwamba wa mapinduzi alienda toa taarifa polisi za mipango ya mapinduzi na yeye hahusiki,wakati wa mapinduzi ati alikua mitaa ya feri..sasa kilichosababisha Mapinduzi ya 1964 ni nini kama kila kitu kilikuwa shwari?
Fuatilia nyendo za okello,ulikua mpango wa muda mrefu,wafanya mapinduzi wengine walikua wakata mkonge toka tanga,walipelekwa usiku,baada ya mapinduzi Askari wa tanganyika ndiyo wakimlinda karume,miezi mitatu baadae muungano,inadaiwa anayebebeshwa umwamba wa mapinduzi alienda toa taarifa polisi za mipango ya mapinduzi na yeye hahusiki,wakati wa mapinduzi ati alikua mitaa ya feri
Dah, akiwa na ujasiri huu, hata mimi ntamheshimu hata kama sitakubaliana na mpango huo...kwa sasa hivi muombeni Ssh akurudishieni serikali iliyopinduliwa, au kama hilo haliwezekani aunde Tume ya Ukweli na Maridhiano ili kuwafuta machozi waliodhulumiwa wakati wa Mapinduzi.
Akifanya hivyo itakuwa balaa, CCM haitamuelewa..msaada unaweza kuwa umetoka nje lakini lazima walikuwepo Waznz walioshiriki ktk mipango hiyo.
..kwa sasa hivi muombeni Ssh akurudishieni serikali iliyopinduliwa, au kama hilo haliwezekani aunde Tume ya Ukweli na Maridhiano ili kuwafuta machozi waliodhulumiwa wakati wa Mapinduzi.
Akitaka anguko la ccm zenji akaribishe hao hizbu..hapo atatambua kuwa muungano ni nini..na kwanini ccm ni chama cha mapinduzi.Akifanya hivyo itakuwa balaa, CCM haitamuelewa
Siyo msaada Bali mipango,okello haiingii akilini atoke Uganda aende kufyatua tofali Pemba..Kisha awe kiongozi wa mapinduzi..msaada unaweza kuwa umetoka nje lakini lazima walikuwepo Waznz walioshiriki ktk mipango hiyo.
..kwa sasa hivi muombeni Ssh akurudishieni serikali iliyopinduliwa, au kama hilo haliwezekani aunde Tume ya Ukweli na Maridhiano ili kuwafuta machozi waliodhulumiwa wakati wa Mapinduzi.
Muhammad Shamte ubini wake ni MBONDE na mbonde ni wandengereko kutoka Rufiji
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
CCM Zanzibar inalindwa na jeshi la Tanganyika ambaye amiri jeshi mkuu wake ni Rais, haiwezi kuanguka labda vita itokeeAkitaka anguko la ccm zenji akaribishe hao hizbu..hapo atatambua kuwa muungano ni nini..na kwanini ccm ni chama cha mapinduzi.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe nani alikwambia Shamte alikuwa Mwarabu?View attachment 2266924
Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa
Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi
Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed) wakati tunaambiwa kuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ilikuwa inatawaliwa na serikali ya Waarabu ikiongozwa na Mohamed Shamte?
Na ubaguzi wa Waarabu ndio uliopelekea hadi mapinduzi kufanyika?
Ama Shamte alikuwa mweusi? Inawezekana vipi Serikali ya Waarabu wabaguzi ikaoangozwa na mtu mweusi? Maana Shamte ndio alikuwa kiongozi mkuu wa Serikali, yaani ilikuwa na mfumo wa Serikali kama wa Uingereza
Ama hao Waarabu hawakuwa wabaguzi kweli kama tunavyoaminishwa?
Maana ni kama uambiwe Serikali ya makaburu Afrika Kusini ilikuwa ya kibaguzi ila Rais wao alikuwa mweusi...lazima ujiulize maswali
Historia inasema serikali iliyopinduliwa ilikuwa ni ya waarabuWewe nani alikwambia Shamte alikuwa Mwarabu?