Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

Kwani Zanzibar kuna 'clanism', kama ilivyo Somalia?

Hili ni swali 'genuine', naomba kuelimishwa.

..kwa uelewa wangu Znz hakuna "clanism" kama ilivyo kwa Somalia.

..lakini walikuwa na matatizo ya kijamii na kisiasa yaliyopelekea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964.

..they need to look at themselves internally ili kubaini tatizo lao lilikuwa ni nini
 
Kwa wakati ule (1964), mbali ya Usultan, na pengine 'heritage' zao, wengine wakiwa na uOman zaidi na wengine kujiona weusi (waafrika) zaidi, sioni tofauti zaidi ya hizo.

Hii 'heritage' ya uOman' imewashikilia sana hadi hii leo.
 
So ni nini exactly kilichochochea yale mapinduzi ya 1964?
 
..sasa kilichosababisha Mapinduzi ya 1964 ni nini kama kila kitu kilikuwa shwari?
Fuatilia nyendo za okello,ulikua mpango wa muda mrefu,wafanya mapinduzi wengine walikua wakata mkonge toka tanga,walipelekwa usiku,baada ya mapinduzi Askari wa tanganyika ndiyo wakimlinda karume,miezi mitatu baadae muungano,inadaiwa anayebebeshwa umwamba wa mapinduzi alienda toa taarifa polisi za mipango ya mapinduzi na yeye hahusiki,wakati wa mapinduzi ati alikua mitaa ya feri
 
..msaada unaweza kuwa umetoka nje lakini lazima walikuwepo Waznz walioshiriki ktk mipango hiyo.

..kwa sasa hivi muombeni Ssh akurudishieni serikali iliyopinduliwa, au kama hilo haliwezekani aunde Tume ya Ukweli na Maridhiano ili kuwafuta machozi waliodhulumiwa wakati wa Mapinduzi.
 
..kwa sasa hivi muombeni Ssh akurudishieni serikali iliyopinduliwa, au kama hilo haliwezekani aunde Tume ya Ukweli na Maridhiano ili kuwafuta machozi waliodhulumiwa wakati wa Mapinduzi.
Dah, akiwa na ujasiri huu, hata mimi ntamheshimu hata kama sitakubaliana na mpango huo.
 
Akifanya hivyo itakuwa balaa, CCM haitamuelewa
 
Akifanya hivyo itakuwa balaa, CCM haitamuelewa
Akitaka anguko la ccm zenji akaribishe hao hizbu..hapo atatambua kuwa muungano ni nini..na kwanini ccm ni chama cha mapinduzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Siyo msaada Bali mipango,okello haiingii akilini atoke Uganda aende kufyatua tofali Pemba..Kisha awe kiongozi wa mapinduzi
 
Akitaka anguko la ccm zenji akaribishe hao hizbu..hapo atatambua kuwa muungano ni nini..na kwanini ccm ni chama cha mapinduzi.

#MaendeleoHayanaChama
CCM Zanzibar inalindwa na jeshi la Tanganyika ambaye amiri jeshi mkuu wake ni Rais, haiwezi kuanguka labda vita itokee
 
Wewe nani alikwambia Shamte alikuwa Mwarabu?
 
Tafakuri muhimu: Je, ubaguzi ulikuwa Justification ya mapinduzi (mauaji) ya 1964?

Manake hadi leo utawala wa Zanzibar umesimama kidete kwenye nguzo ya yale mapinduzi na ni campaign strategy ya CCM dhidi ya yeyote “asiyeswihi” katika mapinduzi yale. Hii ina-exclude vyama vyote vya upinzani kwenye uRais wa Zanzibar. - Kama Rwanda na 1994 Genocide (nionavyo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…