Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.

Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.

Ngoja niwaimbie wimbo.

Wanameremeta,wanameremeta, wanameremeta, wanameremeta, na barakoa wanameremeta, wanameremetaaa!

 
Kuanzia wiki ijayo uingereza raia wanaruhusiwa kukumbatiana na kubusiana!

Hapa kwetu ndio kwanza!
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G.

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji.
 
Hahhahaha halafu anasema yeye na mtangulizi wake ni wamoja! kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…