Ila Mungu wa ukweli aifanyaje eti ?Ogopa sana propaganda la nguvu miaka 6 mfululizo.
Propaganda shambulio= Magazeti, TVs, Radios, Wasanii, Dini, Ibada.
Lazima umuone huyo mtu ni mungu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mungu wa ukweli aifanyaje eti ?Ogopa sana propaganda la nguvu miaka 6 mfululizo.
Propaganda shambulio= Magazeti, TVs, Radios, Wasanii, Dini, Ibada.
Lazima umuone huyo mtu ni mungu kabisa.
... Rais Samia ni lazima alindwe kwa nguvu zote dhidi ya hatari yoyote wewe! Uzuri amezungukwa na watu wenye akili akina Amb. Mulamula (ex-lecturer US) watu wenye exposure zilizotukuka sio wale wajinga wa kusifu na kuabudu! Na uzuri yeye huwa anasikiliza na kushaurika.Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu
Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.
Ngoja niwaimbie wimbo
Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa !!!!!!!!!!!!
Corona baba lao.Ila Mungu wa ukweli aifanyaje eti ?
Uzuri ni kwamba Rais hataki kusifiwa na kuabudiwa, kwahiyo wew na hao cjui nyumbu, mbuzi kipind hiki tafuteni kaz nyingine!kwani hawapo!!!
sasa wamekuwa wengi,tena wengine wanatoka ule upande wa nyumbu na mbuzi.
Sio kwamba ni haramu,lakini ukweli wa hizi barakoa kuondoa covid ni mdogo.Na zipo taarifa za kidaktari kuwa kuvaa barakoa kwa kukinga corona huwa kunawasababishia watu wengi maradhi mchanganyiko.Hasa maradhi ya njia ya hewa. Na kwa wenye maradhi yaliyojificha kama aina kwa aina za pumu ndio huwa wanaumwa haraka.Magu alikuwa anawapa nini nyie fisi? Kwani ni haramu kuvaa barakoa hadharani?
... hakuna namna nyingine iliyo bora zaidi ya kuwa-please mataga zaidi ya kuwafariji kwa hayo maneno machache.Hahhahaha halafu anasema yeye na mtangulizi wake ni wamoja! kweli??
... uhai wa wananchi ni bora kuliko utalii! Samia is leading by examples; msipoelewa tena, mtakuwa na matatizo makubwa upstairs.Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Huu ni ujinga sana nausema kila mara humu, yaan mtu hakujui wala haujui ni nan wala hajui where you are na unafanya nn but anaropoka as lil kid eti liko juu ya kimo chako 🤣🤣🤣. Dumbest kbs, hujalazimishwa uvae but kwenye mkusanyiko lazima uvae utake usitake! Kama vipi hamieni Madagascar. Hili suala ni sensitive tofaut na akili yako ya kisiasa inavyokudanganyahili liko juu ya kimo chako tafadhali.
Huku nako waliopata chanjo wataanza kukumbatianaKuanzia wiki ijayo uingereza raia wanaruhusiwa kukumbatiana na kubusiana!
Hapa kwetu ndio kwanza!
Huu ni ujinga sana nausema kila mara humu, yaan mtu hakujui wala haujui ni nan wala hajui where you are na unafanya nn but anaropoka as lil kid eti liko juu ya kimo chako 🤣🤣🤣. Dumbest kbs, hujalazimishwa uvae but kwenye mkusanyiko lazima uvae utake usitake! Kama vipi hamieni Madagascar. Hili suala ni sensitive tofaut na akili yako ya kisiasa inavyokudanganyahili liko juu ya kimo chako tafadhali.
umepanick.Huu ni ujinga sana nausema kila mara humu, yaan mtu hakujui wala haujui ni nan wala hajui where you are na unafanya nn but anaropoka as lil kid eti liko juu ya kimo chako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Dumbest kbs, hujalazimishwa uvae but kwenye mkusanyiko lazima uvae utake usitake! Kama vipi hamieni Madagascar. Hili suala ni sensitive tofaut na akili yako ya kisiasa inavyokudanganya
Uko sahihi barakoa kwanza inasababisha CoronaSio kwamba ni haramu,lakini ukweli wa hizi barakoa kuondoa covid ni mdogo.Na zipo taarifa za kidaktari kuwa kuvaa barakoa kwa kukinga corona huwa kunawasababishia watu wengi maradhi mchanganyiko.Hasa maradhi ya njia ya hewa. Na kwa wenye maradhi yaliyojificha kama aina kwa aina za pumu ndio huwa wanaumwa haraka.
Uhuru kamuingiza Mama choo cha kiume,Mama nae anaitaka pesa ya covid!!Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Hatutaki Barakoa vaeni nyie mnaotaka upuuzi huo wa Barakoa!!Magu alikuwa anawapa nini nyie fisi? Kwani ni haramu kuvaa barakoa hadharani?
mkisema hivyo mnatuudhoofishaa tunaotegemea wataliiKwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Na wwe hamia Ikulu ukavae Barakoa!!Hamia uingereza [emoji1787][emoji1787]