mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kikubwa uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigg-a prepare for same shi-t..Six feet under is for every bloodied soul..kwanza ni tusi kwa wazazi wako (kama wameshafariki) ama wana ukoo wako waliokwisha fariki kurefer marehemu kuwa "wanaoza"Sawa, my point is not being dead or alive. Point ni kuwa Jiwe lenu linaoza huko kwa mashetani mlilolitegemea kuishi
Wwe unaonekana Amb MulaMula humjui vizuri,yule ni msaani sana kumpita hata Mama Tibaijuka!!
Kikubwa uzima
Uzimwa unalindwa si ajali.
nobody believed that nonsenseKwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Misingi ipi alileta, alirudisha Azimio la Arusha ?Ni wewe tu..wewe uliona propaganda wakati uhalisia ni ilikuwa ni kampeni ya kurudisha nchi kwenye misingi na ikapata uungwaji mkono mkubwa.
Hakuna anayeweza kulinda uzima.
HAO wahindi na ubora wao wote WA huduma za AFYA Corona inawachakaza.
HII NI VITA MAGUFULI ALIIJUAView attachment 1780413
Hukuwahi kusikia kinga ni bora kuliko tiba?
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Huwezi iona sababu umechagua kutoionaMisingi ipi alileta, alirudisha Azimio la Arusha ?
Wewe ni mhanga wa propaganda, hivyo huna unachojua.Huwezi iona sababu umechagua kutoiona
Visit a shrink dudeWewe ni mhanga wa propaganda, hivyo huna unachojua.
Ulipaswa kuwekwa kwenye rehabilitation center usaidiwe urudi kwenye akili yako.
Gwaji -"mzee wa kumaliza ndan ya dakika mbili" akimfufua "mwendazake" aisse mwendazake atarudi huko anapoongoza ma-angel" maana mambo yamebadilika utfikiri upinzani ndio ulikuwa unaongoza nchi.Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.
Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.
Ngoja niwaimbie wimbo.
Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa!
Msanii ni Msanii tu,hata akiwa anafanya kazi office ya Kata!tabia haijifichi!!Wa kulinganisha si wangekuwa:
Amb. Mulamula : Amb. Prof. Kabudi
Tibaijuka hakuwa wizara hiyo.
Mama yako muulize ananijua, nitakwenda naye hko six feet. stupid.... mpuuz mkubwa wewe kumbe, stupid burgerNigg-a prepare for same shi-t..Six feet under is for every bloodied soul..kwanza ni tusi kwa wazazi wako (kama wameshafariki) ama wana ukoo wako waliokwisha fariki kurefer marehemu kuwa "wanaoza"
Stepped right into your nerves nigg-a..seems ushapoteza wazazi it's reverse psychology and it worked on youMama yako muulize ananijua, nitakwenda naye hko six feet. stupid.... mpuuz mkubwa wewe kumbe, stupid burger
Mama Tibaijuka alitaka kuuza Aridhi ya Kigamboni kisa Wawekezaji! Hali kazalika na Amb MulaMula ndiyo walewale ambao wako tayari hata kuuza Aridhi yetu kwa kisingizio Cha uwekezaji!!Wa kulinganisha si wangekuwa:
Amb. Mulamula : Amb. Prof. Kabudi
Tibaijuka hakuwa wizara hiyo.
mikusanyiko inayotaka barakoa ni ile yenye hewa bandia (AC) sio hiyo unayoisemea wewe!!Hiyo mikusanyiko iko Ikulu tu!? Mbona huko kwenye mikusanyiko ya kweli Kama vile stand na masokoni hatuzioni hizo Barakoa!?
Msanii ni Msanii tu,hata akiwa anafanya kazi office ya Kata!tabia haijifichi!!