Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

Mama Tibaijuka alitaka kuuza Aridhi ya Kigamboni kisa Wawekezaji! Hali kazalika na Amb MulaMula ndiyo walewale ambao wako tayari hata kuuza Aridhi yetu kwa kisingizio Cha uwekezaji!!

Mwaka huu na hizi avatar zenu mbona ni mwendo wa makopo tu?
 
Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.

Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.

Ngoja niwaimbie wimbo.

Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa!

Naona una agenda yako ya siri..unataka wapukutike kama wale wa nyuma?
 
Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.

Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.

Ngoja niwaimbie wimbo.

Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa!

We jamaa bado uko gerezani, jiwe ameshakufa wew bado uko utumwani
 
Sio kwamba ni haramu,lakini ukweli wa hizi barakoa kuondoa covid ni mdogo.Na zipo taarifa za kidaktari kuwa kuvaa barakoa kwa kukinga corona huwa kunawasababishia watu wengi maradhi mchanganyiko.Hasa maradhi ya njia ya hewa. Na kwa wenye maradhi yaliyojificha kama aina kwa aina za pumu ndio huwa wanaumwa haraka.
Unasema kweli kabisa. Barakoa kwangu mimi unisababishia mafua ya kuchuruzika na matatizo ya kifua. Naamini kuna wengi kama mimi.
 
Mi nadhani,kuvaa barakoa pale ikulu haitoshi,nadhani wafunge na mipaka kwanza,mpaka tutakapojiridhisha corona imekwisha.maana mitaani hali ni mbaya Sana.
 
YEHODAYA wewe ni mzalendo wa kweli. JPM aliishatuwezesha kufikra kwenye korona. Hizi propaganda za barakoa zinaanza sasa. JPM amekufa lakini fikra zake ziko hai ndani ya jamii.
 
Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.

Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.

Ngoja niwaimbie wimbo.

Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa!

Wanameremeta sana mkuu!! Huku uswazi Mungu anatulinda sana.
 
Mkuu Move on Maisha yaendelee,

Mshukuru Mungu kwa kila jambo yeye ndiye apangaye lipi liwe lini.

Utaishi kwenye kivuli cha Hayati Mpaka lini?
Hadi afufuke, hata kama ni mzimu wake tu, uje uwavue hivyo vibarakoa hao vibaraka wa mabeberu
 
nia njema HAIROGWI. anaemuombea MAMA mabaya, mabaya yasiondoke NYUMBANI KWAKE.
Mimi nitairoga maana hiyo si nia njema, lengo ni kututia hofu ili mwishowe walete chanjo kiulaini na kupiga mpunga huku wakituua taratibu, no way, anacheza ngoma asiyoijua inayopigwa na hayo mabeberu, au la wamemtisha akatishika, udhaifu kitu kibaya sana, tunarudi wnzi za Msoga sasa za Mr.Dhaifu
 
Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.

Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.

Ngoja niwaimbie wimbo.

Wanameremeta,wanameremeta ,wanameremeta, wanameremeta ,na barakoa wanameremeta ,wanameremetaaa!

Pole sana. Zama zenu Sukuma Gang zimeshapita.
 
Hivi sisi Watanzania tunataka nini,asipovaa barakoa tunasema akivaa tunasema,hivi tupoje?,wakati wa Mzee Magu mlisema watalii hawatakuja kwakua TZ hatuna hatua stahiki za kujikinga na korona,leo mama amevaa mnasema watalii hawatofika,tuache siasa za kizamani,mwacheni mama atuongoze kadri awezavyo,
Usitujumuishe, sema baadhi walisema
 
Back
Top Bottom