Akili yako bado ndogo sana kweny huu ulimwengu, nan alikwambia Tanzania inaweza shindana na wazungu? Yaan tunawategemea karibu kila kitu even budget yetu inawategemea haohao. Fungua akili yako ww, tuna nn mpaka tushindane nao? Kikubwa tuna safar ndefu ya kujijenga kiuchumi na sio hizo blabla cjui mwendazake, chanjo nying tunawategeme, maendeleo ya elimu tunawategemea kwa misaada yao, hata miradi inayoendelea ni mikopo. My advice to you... Piga moyo konde kubali mwendazake hayupo tena then kubali kua Rais ni Samia, mwisho kbs fanya kaz kwa maendeleo yako. Maan tumepiga marufuku kikundi cha kusifu na kuabudu mwanadam.