Jiwe hakuchukua tahadhari. Watalii wakaja. Leo hao watalii waliokuja wana msaidiaje? Nyie watu itachukua muda snaa akili zenu kufunguliwa.Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe
Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G
Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji