Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Jiwe hakuchukua tahadhari. Watalii wakaja. Leo hao watalii waliokuja wana msaidiaje? Nyie watu itachukua muda snaa akili zenu kufunguliwa.
 
Si mkafukue kaburi la mwendazake mjifukie pamoja naye
 
Whatever! As utaenda kama Lissu its up to you, now hatu entertain praise and worship team, Never!!!
kwani hawapo!!!

sasa wamekuwa wengi,tena wengine wanatoka ule upande wa nyumbu na mbuzi.
 
MUNGU naye kamtafuna mapema
Tulikuwa tumekwisha kabisa. Yaani sasa kuna barabara ya Temeke inajengwa, kwahiyo kuna foleni za reja reja sana.

Sasa, kuna watu utawasasikia jamani hii barabara ina vumbi na foleni kubwa yaani hadi watu wanamkumbuka Magufuli.

Aisee, yaani kimoyo moyo unaishia kuona ni namna gani kibwengo aliwaweza watu mpaka huruma.
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Wewe mwongo uliyetukuka, baada kuingia Corona ni lini utalii ulipanda, au waishi chato?
 
Kuanzia wiki ijayo uingereza raia wanaruhusiwa kukumbatiana na kubusiana!

Hapa kwetu ndio kwanza!

Mara nyingi hamtaki kulinganishwa wala kuiga ya wengine! Kwani hapa pia tulikuwa na lockdown na chanjo kama Uingereza?? Mlituongoza kuamini kuwa hapa hakuna covid-19, sasa hayo unayotaka kwetu ni kwa ajli ya jambo gani?

Unafiki unafanya kuwaelewa kuwa rocket science!! Huwezi kulinganisha chungwa na pera, hata kama yote ni matunda!!
 
Wanatii beberu
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji

Hakuna mtu anayeamini sayansi na mkweli aliamini mlichokuwa mnasambaza. Waliamini sisi ni wajinga kama walivoamini sisi ni wachawi kipindi cha kikombe cha babu na mauaji ya albino!!

Kwani kuna watalii sasa hivi? Wanakujaje wakati nchi zao haziwaruhusu kurejea makwao?? Au haufahamu current affairs?? Hufahamu kuwa utalii ulishuka toka mwaka juzi??

Acheni hadaa na muanze kuwa wakweli - mtakuwa na amani ya moyo. Haiwafanye kuwa bora kueneza uzandiki, chuki na fitna!!
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Mkuu Move on Maisha yaendelee,

Mshukuru Mungu kwa kila jambo yeye ndiye apangaye lipi liwe lini.

Utaishi kwenye kivuli cha Hayati Mpaka lini?
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
nia njema HAIROGWI. anaemuombea MAMA mabaya, mabaya yasiondoke NYUMBANI KWAKE.
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
Mbona walishuka kwa kiwango cha kutisha wakati mnahimiza kuvuta mvuke ? Mama level ya uelewa wake iko juuu saana ni uzawazwa kumlinganisha na unampigania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…