Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Rais angekuwa ni muislamu na akateua waislamu wakutosha (kama nusu tu ya baraza zima), leo jumapili makanisani zingesomwa nyaraka za maaskofu kuipinga serikali, mahubiri na maombi yangekuwa ni kuipinga serikali, wakristo wangeambiwa wafunge siku kadhaa dhidi ya uislamu kushamiri hapa Tz nk.

Viongozi wa kikristo nawajua vizuri.
yap ni kweli maana waislam wengi wamekremu juzuu 30 hiyo ndio elimu yao hii nyingine wanaita elimu dunia ,sasa utachagua hao kwenye nafasi za mamuzi??
 
Huyu jamaa sio bure jamam mana anamaneno chonganish tumpinhe kwa nguvu zote astuletee udin wake sjui uzanzibar au mamb ya hak sawa bro knacoangaliwa ni uwezo wa mtu na si udini
 
Ndo anavyomuona hvo makam wake?
Hilo la wanawake lilikuwa wazi sana, wangetemwa wengi tu, mtazamo wa mzee kwa wanawake uko kipuuzi mnoo, yeye anamwona mwanamke katika mtizamo wa kingono na kiudhalilishaji mnoo, kumwamini kisiasa ni ngumu.
 
Madhara ya haya aliyoyafanya yataonekana baadaye nyie mnaosifia endeleeni ipo siku mtakumbuka mkiwa mmeshachelewa . Pascal Njaa njoo na kundi lako la humu mtandaoni mje mshangilie na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu awamu hii .
 
Hilo baraza ikifika June 2021 wengi wao watakuwa wamefukuzwa. Hamna hata haja ya kujiumiza kichwa.
 
Udini,ukabila, ukanda, ubara na visiwa huo n mtazamo wako, ndiyo maana Kuna mtu alisema wakat anapitia hayo majina hakuw akijiuliza huyu dini gan, sjui kabila gan na mengineyo, nikazie upande wa udini, TZ udini unaishia hukoo kwenye nyumba za ibada ila tukiwa kwenye jamii huwa tunaish vizurii na wengi huwa hatupati hisia za kuwa huyu jamaa yangu n dini tofauti# acha uchonganishi$#
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Mimi ni mwislam, ila alieleta mada hii ni Mjinga, unastahili tu kuelimishwa huenda ukaeleimika, ukaondokana na ujinga. Kwa hiyo ulitaka rais achague baraza la mawaziri lenye wakristo 50% na waislam 50%?. Kwa hiyo achague tu kukuridhisha wewe kwa idadi hiyo hata kama watendaji husika hawawezi kazi.......
 
Niambie rais aliyechagua baraza LA wakristo watupu kama sasa. Waliomtangulia walikuwa na hekima ya kutawanya majukumu na keki kwa dini zote ndiyo maana mshikamano Wa taiga ulidumu. Tuombe Mungu tufike 2025 uone mbegu ilyopandwa Leo itazaa mini.
 
Baraza lililopita halikufanya chochote zaidi ya kuwaona kwenye tv wakifokea wakandarasi,ndio haohao wamerudi karibia 70% hakuna jipya
 
Unaweza kuniambia idadi ya wakristo katika baraza la mawaziri Zanzibar?
Au huko hakuna wakristo?
 
Nawashangaa sana waislamu mnalalamika lalamika tu mnasahau kuwa top cream ya juu ya Serikali ni waislamu

Waziri mkuu muislam
Makamu wa Rais muislamu
Mkurugenzi wa usalama ni muislamu

Nenda kwa ma ded, ma das, wakuu wa wilaya na mikoa waislamu mbona wengi tu

Kipindi cha kikwete
Rais muislamu
Makamu muislamu
IGP (said mwema muislamu)
Mkurugenzi wa usalama ( othman muislamu)
Wakuu wa mshirika ya umma wengi walikuwa waislamu kina Ramadhani dau na wengine hukusikia wakristo wanalalamika you know why?

Hatumaindi vitu vidogo dogo kama hivi..

Nyinyi sasa kila kitu kwenu nongwa

Elimu Elimu Elimu
Rudia kufanya uhakiki hicho ulichokiandika,usiandike,andike tu.
 
watanzania wenzangu chonde chonde tusianze kuingiza udini ktk Taifa letu maana ni jambo hatari kuliko yote uliyo yataja,
ni kweli usio na shaka kuwa uwiano ni jambo zuri ktk kujenga umoja wa kitaifa lkn nchi yetu haina mgogoro wa kidini wala chuki hivyo tunaishi kwa kuaminiana zaidi kuliko kuogopana tunaamini ktk baraza lililo teuliwa hata kama hakuna uwiano.Mungu wabariki mawaziri wateule.
 
Hapa nilipo msibani na ni waislam mimi mkristo na tangu asubuhi tupo nao kwani kwangu cha muhimu ni utanzania kwanza.

Mada za kipuuzi kama hizi ndizo zinazogawa mataifa mengi ya kiafrika.
 
Mkikosa teuzi za kuwa mawaziri mnaanza ramli mara udini, mara ukabila, mbona Majaliwa ni muslim hawasemi.

Mliomba kuwa wabunge mkapata tena mnataka na uwaziri, huo ni uroho wa madaraka
 
watanzania wenzangu chonde chonde tusianze kuingiza udini ktk Taifa letu maana ni jambo hatari kuliko yote uliyo yataja,
ni kweli usio na shaka kuwa uwiano ni jambo zuri ktk kujenga umoja wa kitaifa lkn nchi yetu haina mgogoro wa kidini wala chuki hivyo tunaishi kwa kuaminiana zaidi kuliko kuogopana tunaamini ktk baraza lililo teuliwa hata kama hakuna uwiano.Mungu wabariki mawaziri wateule.
Nini msichoelewa nyie watu?Watanzania hawataki udini isipokua viongozi wetu wanauleta ama makusudi au kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom