Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #21
Katika utendaji hakuna udini ,ujinsia na uzanzibar au ubara
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Umewahi kusomea kozi yoyte ya uongozi au utawala?
Kuna kitu kinaitwa
1.Inclusiveness
2.Demography
3. Social forces
Hivyo vitu lazima uvizingatie kwenye kuunda timu za kiutawala, las sivyo unaweza kuishia kuunda serikali iliyojaa watu wa kijiji chako peke yake kisha ukajitetea kuwa "lakini ni watendaji wazuri"-Je hakuna watendaji wazuri kutoka sehemu nyingine za nchi?