Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #21
Katika utendaji hakuna udini ,ujinsia na uzanzibar au ubara
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Moja: Balaza la mawazili ni pamoja na manaibu, je manaibu wale hujawaona?!?
Mbili: Balaza la mawazili ni pamoja na Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Raisi wa Zanzibar, hawa nao ni makafiri?!? ewe uliyedini ya 'kweli'
Hata uliyoyataka yangetimia ungelipinga tuSijawahi kuona serikali jeuri, insensitive isiyojali hisia za wananchi kama hii serikali ya awamu ya tano....
Jinga kweli!!! Hiyo katiba mnaifuata? Mkibanwa mnaanza kusema katiba inasemaje wakati mnaisigina kama kibuyu cha samli.Kwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Kimtokacho mtu ndio kilicho ujaza moyo wake.Udini ni matendo, na mfano wa matendo yenyewe ni teuzi hizi za kidini.
Uko sahihi, Ukitaka kuona wakiristo wakiungana kuteteana ni katika vitu kama hivi-Hapa watamtea Magufuli kwa nguvu zote kwa sababu analinda maslahi yao kwa vitendo na bila haya!Rais angekuwa ni muislamu na akateua waislamu wakutosha (kama nusu tu ya baraza zima), leo jumapili makanisani zingesomwa nyaraka za maaskofu kuipinga serikali, mahubiri na maombi yangekuwa ni kuipinga serikali, wakristo wangeambiwa wafunge siku kadhaa dhidi ya uislamu kushamiri hapa Tz nk.
Viongozi wa kikristo nawajua vizuri.
Wanaomkea Magufuli mara kwa mara kwa udikteta wake haimaanishi nao ni madikteta kwa sababu wanausema udikteta wake!Kimtokacho mtu ndio kilicho ujaza moyo wake.
Wewe 'unayewaza udini udini' ndio mdini
Unachotaka kusema hapa ni sawa na kusema hii mitaa yetu ya Rombo tuwe na mwenyekiti wa mtaa kutoka Kigoma. Dadaa mbona hujiongezi?b) Hili ni baraza la Tanganyika, Yawezekana vipi usiwe na baraza lenye waziri kamili hata mmoja Mzanzibar?
Naomba nifahamishwe pia kwenye Baraza la Mawaziri Zanzibar kuna mtanganyika alishawahi kuteuliwa nafasi ya uwaziri[emoji23]
Hapo sasa, wanachukulia uongozi ni zawadi, augawe gaweKwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Nawashangaa sana waislamu mnalalamika lalamika tu mnasahau kuwa top cream ya juu ya Serikali ni waislamu....
Ahahaha, hapo kwenye kipengele "b" nimenukuu tu kutoka kwenye uzi.Unachotaka kusema hapa ni sawa na kusema hii mitaa yetu ya Rombo tuwe na mwenyekiti wa mtaa kutoka Kigoma. Dadaa mbona hujiongezi?
Hapo sasa, wanachukulia uongozi ni zawadi, augawe gawe
Wewe seminari uliyosoma ilikua haifundishi somo la Uraia?Tangu lini Naibu Waziri akawa sehemu ya Baraza la Mawaziri wewe?Moja: Balaza la mawazili ni pamoja na manaibu, je manaibu wale hujawaona?!?
Mbili: Balaza la mawazili ni pamoja na Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Raisi wa Zanzibar, hawa nao ni makafiri?!? ewe uliyedini ya 'kweli'
Tatu: Nafasi za uongozi si zawadi, kwa dini, makabila, mikoa; hadi liwe ni swala la kufa na kupona, kwamba ni lazima dini, kabila, mkoa upate
Hayo yanawezwa kufanywa hata na serikali ya kifamilia(ya kifalme), lakini hili ni Taifa la watu wa makundi mbalimbali ya kijamii hatutegemei kuona serikali inayoongozwa na watu wa imani moja kupita kiasi. Lazima serikali iakisi demography za watu wakeHakika Zahanati; Vituo vya afya; Hospitali za wilaya, mikoa, kanda, & rufaa; Shule; Barabara na nk. ndio mambo ya msingi, anayopaswa kutumizwa na sio upuuzi wa kubalance dini
Hayo ni mawazo yako.Nashangaa tuna baraza la mawaziri lililokaa Kiparokiaparokia
Uneambiwa wizara za muunganob) Hili ni baraza la Tanganyika, Yawezekana vipi usiwe na baraza lenye waziri kamili hata mmoja Mzanzibar?
Naomba nifahamishwe pia kwenye Baraza la Mawaziri Zanzibar kuna mtanganyika alishawahi kuteuliwa nafasi ya uwaziri[emoji23]