TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Tatizo linaaanza kwa wananchi kwa nini wachague viongozi wasio na sifa kiasi cha kumpa Rais kazi hivyo ?
"kwa sababu kufanya tofauti rais ilikuwa either achukue viongozi toka upinzani, au arudishe wazee kwa sababu kama ni ccm tu, aliowachagua ni almost all we got kwa mtizamo wangu",
Kwangu although Waziri/Deputy anachangia sana katika ufanisi/utendaji wa Wizara, Katibu Mkuu ndiye ambaye amekamata mpini!!! Kwa mawazo yangu (I stand to be corrected on this) ni kwamba kwa kweli kwenye wizara nyingi ambazo zipo goigoi ni maPS ndio wanalete rongorongo..... Mifano ya haraka ni pale Fedha, Viwanda n Biashara, Energy, Afya, Miundombinu zamani, Elimu ya Juu etc..... Kwa muangalio wa haraka haraka nilichogundua ni kwamba most of these posts tumewapa "non-professionals in the field"... Hii imekuwa more political!!
Time will tell,nasema tuwape muda wakati tukiendelea kumkoma nyani giladi na kuwafuatilia kwa karibu sana.
Kati ya picha zilizonifurahisha ni hii ya Mama Megji na Karamagi. Inasema mengi sana. Inata huruma mama kama vile anasema jamani mimi niliingizwa mkenge tuu na Balaa hili.
http://mpoki.blogspot.com/
NI WAZI UNAJENGA HOJA ZAKO KTK MSINGI WA CHUKI NA WALA UNA VIGEZO VYA KIHISTORIA WALA UELEWA MPANA WA WAJIBU WA WAZIRI KTK WIZARA,KWA UELEWA WAKO TN INAPASWA KUWA NA WIZARA 15,UMEFANYA UTAFITI GANI KUJUA HILO!UNALOPOKA TU MTU MZIMA.UNASHANGAA MARK KWENDA WIZARA YA MAJI NA UNADHANI ANGEPELEKWA TEKNOLOJIA,KWA TAARIFA YAKO MARK AMEPATA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI KWA MIAKA KADHAA NA WAZIRI WAKE ALIKUWA NI JK,HUVYO JK ANAMJUA KULIKO WEWE UNAONGEA BILA MPANGILIO.HAYA NIAMBIE KWA DATA TATIZO LA MWINYI NI NINI WIZARA YA ULINZI?UNA MAANA KAPUYA ALIKUWA NI BORA KULUKO MWINYI?Hapa mkuu tuko pamoja ila nina haya machache ya kuongeza:
-Kuwaweka watu kama Nchimbi na Husein Mwinyi kwenye wizara muhimu ya Jeshi letu la Ulinzi na kujenga Taifa ni kulidharau jeshi hilo ambalo ni chombo muhimu sana kwa Taifa letu hasa katika kipindi hiki ambacho karibu majirani zetu wote wapo kwenye vita au machafuko ya kisiasa.
-Inaelekea JK bado hajaona umuhimu wa kupunguza timu yake pamoja na ushauri wote aliopewa.Nchi kama Tanzania kweli haipaswi kuwa na wizara zaidi ya 15!!kuwa na wizara zaidi ya 25 ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
-Naona mawaziri wengi wamewekwa si kutokana na uchapakazi au ufanisi au uwajibikaji au usafi bali ni sera zilezile za ushikaji,urafiki,kusoma pamoja,kuoneana haya na bila kuzingatia zile sera za ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya!.Hebu tuchukulie mfano wa Prof.Kapuya kweli huyu mtu anatufaa?? je kweli uchapakazi wake unaridhisha? mtu huyu kila kukicha anawaza kununua vipanya ili apeleke kule ISAKA-Shinyanga mpaka sasa ni mtu mwenye vipanya vingi kule ISAKA sasa swali linakuja kavipatapataje?????
-Kumpeleka Prof.Mwandosya wizara ya maji badala ya wizara ya Sayansi na Technologia ambako ndiyo mtaalam huko ni kukoroga mambo tu! Sijui ni kigezo gani kimetumika hapo..hebu nielimisheni.
-Kumuondoa pombe magufuli wizara ya ardhi ambapo alionekana kupamudu kabisa na kuweka mtu mwingine nikukaribisha lile wimbi la wageni kujitwalia tena ardhi yetu huku watanzania tukiendelea kunyanyasika.
Wembe Mkali
Mkullo kuwa Waziri wa Fedha imeni dissapoint kweli?
Alipo mtaja chenge watu tuliokuwa tunatazama tv karibia tuzimie.
Wewe KIFO na ufe na kauli zako za uchochezi. Wewe ndio mdini..tabu yako ni kuona jina la muislamu tu. Wewe kwako kila muislamu ni mdini tu. Labda utupe tafsiri ya udini. Huyu Mkullo hakuna mtu mlevi kama huyu haya tuambie ni udini gani aliufanya akiwa NSSF au pengine. wacha zako Mgala mkubwa wewe.Nyie ndo watu mnaotaka kila wizara ashike JOHN na JESEPH tu sijakusikia ukimtaja Chenge kama hafai au kwa kuwa ni Andrew! baradhuli mkubwa wewe.Inasikitisha sana kwa mtu kama Mkullo kuwa waziri wa fedha!hivi huyu rais kweli ana nia nzuri nchi. Angalia maskendo yake pale NSSF ni mdini sana jamaa kama aliyeko sasa (Dau). Uchumi utadidimia kuzimu,jk hajua nani wa kumteua. Kweli kweliii mkuloo,jk isnt serious as always. Mkulo ana kashfa kibao za ubadhirifu na ndio uliomtua NSSF!!Unajua tofauti ya mkapa na jk ni ndogo sana nayo ni: Mkapa aliwatimua mafisadi wote wa enzi za mwinyi (Mkullo,Mataka,etc)na kuunda mafisadi wapya na JK yeye anaua mafisadi wa kundi lake na kufufua wale waliouawa na Mkapa. Ngoma droo. Ni bora kuanziasha wapya kuliko kufufua wafu......
Inasikitisha sana kwa mtu kama Mkullo kuwa waziri wa fedha!hivi huyu rais kweli ana nia nzuri nchi. Angalia maskendo yake pale NSSF ni mdini sana jamaa kama aliyeko sasa (Dau). Uchumi utadidimia kuzimu,jk hajua nani wa kumteua. Kweli kweliii mkuloo,jk isnt serious as always. Mkulo ana kashfa kibao za ubadhirifu na ndio uliomtua NSSF!!Unajua tofauti ya mkapa na jk ni ndogo sana nayo ni: Mkapa aliwatimua mafisadi wote wa enzi za mwinyi (Mkullo,Mataka,etc)na kuunda mafisadi wapya na JK yeye anaua mafisadi wa kundi lake na kufufua wale waliouawa na Mkapa. Ngoma droo. Ni bora kuanziasha wapya kuliko kufufua wafu......
Nashangazwa sana nauteuzi wa Chenge.
Nasikitishwa sana na uteuzi wa Shamsa Mwangunga kupewa wizara ya utalii na maliasili hivi huyu mama anaweza kweli? ama ni kiupeana vyeo tuu bila kujali uwezo wa huyo anayepewa hicho cheo.
Sioni mwanga nazidi kuona kiza nene mbele yangu na mbele ya taifa langu.
Tanzania bila mafisadi inawezekana ,timiza wajibu wako.
a 100% right.......
kwa mtu yeyote ambaye kasoma bongo mpaka 'versity level hasa sisi watu wa science, tunakubali kwamba elimu ya bongo mwisho ktk afrika!!! hata hao nigeria na SA wanatuzidi namba tu ya vyuo, lakini ktk kushusha nyanga tumewaacha flani(forget desa/mkoba...naongelea "ngunju" lenyewe)..tatizo ni kiingereza ndio kinapiga njenga!! wakenya na waganda wanatuogopa sana.