Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
 
Wangapi waliaminiwa na chadema,wakaondoka
Je wameweza kuibomoa chadema?
 
Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Wajumbe wa baraza kuu ndio hao labda kama unataka kura za wajumbe wa Kamati kuu hizi hapa..

Wajumbe wa Kamati kuu.
Idadi wajumbe 23
Wanaokubaliana na maamuzi ya Kamati kuu 23.
Wanaopinga maamuzi 0.

Wangapi waliaminiwa na chadema,wakaondoka
Je wameweza kuibomoa chadema?
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
 
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?

Hawa wanawake nguvu waliokuwa nayo ilitokana na kuwa na platform ya CHADEMA; sasa hivi hawana platform, they are finished na kokote watakako kwenda watadharauliwa na kutoaminika kwasabau ni mercenaries!! Politically they are finished.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…