Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.Ni rasmi sasa covid 19 watafukuzwa chadema
Hongereni sana chadema. Msaliti/wasaliti havumiliki/ hawavumiliki ndani ya chama.
======
UPDATE:
Matokeo ni kama ifuatavyo;
Kanda ya Victoria (Wajumbe 44)
-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1
Jumla kura 44
Kanda ya Nyasa (Wajumbe 57)
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 57
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 57
Kanda ya Unguja (Wajumbe 22)
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 19
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 1
Jumla ya Kura 22
Kanda ya Pemba 15
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 12
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 15
Kanda ya Kusini 32
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 32
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 32
Kanda ya Pwani 47
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 45
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 47
Kanda ya Kati 44
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 44
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 44
Kanda ya Serengeti Wajumbe 41
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 41
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 41
Kanda ya Magharib Wajumbe 37
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 37
Wasiokubali 0
Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 37
Kanda ya Kaskazini Wajumbe 61
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 61
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 61
Wangapi waliaminiwa na chadema,wakaondokaHata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
Tuishi kwa kumtegemea MUNGU na siyo Binadamu.Amina na iwe hivyo! Tuachane na kuabudu Wanadamu kwa kuishi kwa woga na unafiki.
Kuufagia Unafiki na uzandiki,Mkuu, unaweza kunieleza kufukuzwa kwa hao wanachama kuna faida gani kwa chadema?
Sasa wewe jitoe JF kama ulivyohaidi. Huna jipya!Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Wajumbe wa baraza kuu ndio hao labda kama unataka kura za wajumbe wa Kamati kuu hizi hapa..Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Timiza ahadi yako.Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Na Mjomba ndo alishaenda zake.
Chama cha kikatili mno
Acha wewe kwanza.Uache uzuzu
And this is the point.Kuufagia Unafiki na uzandiki,
Watayavaa wakiwa wanaenda kula bata hahahahahaAsa yale magwanda watapeleka wapi 😂😂😂
Baada ya hapo nini kinafuata?
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?Wangapi waliaminiwa na chadema,wakaondoka
Je wameweza kuibomoa chadema?
Aah wapi.Inakuchoma hisia
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
Jitoe mazima huku mzee kama ulivyoahidi.Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Sijui unaongea nini ww mzee, labda waivuruge ccm yenu au wajivuruge wenyeweNadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?