Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
Hizo ni siasa za Chuki ambazo binafsi sizipendi, kwann unawaza chadema kubomoka nasio ccm. Ukimsikiliza bobi wine leo alivyoongea nadhani huwezi andika huu uharo
 
Ndugai, soma hiyo!
Ndugai, soma hiyo!
 
Sio Siri waliojiharibia future yao hapo ni Nusrat Henje na Halima Mdee,
Yaani mie zaidi nilisikitishwa na hawa wote ambao walikuwa wapambanaji, na kupitia shuruba zote za mara kufungwa na wananchi hadi kuwachangia kuwatoa gerezani kutokana na vile walivyoaminiwa, but mwisho wa siku wakadanganyika kiraisi kwa uchu wa vipande sijui vya pesa...eish Halima Mdee &Co..you really let us down..
 
Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba akina Halima nje ya chadema sio chochote. Kwani tangu wafukuzwe na chama mwaka mmoja nyuma wanaimpact gani bungeni?.
 
..Halima na wenzake waombe msamaha.

..Wamtaje aliyewarubuni, na namna alivyowarubuni.

..Hatua kali za KISHERIA zichukuliwe kwa wote waliohusika na jambo hili.
 
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?

Zitto mwenyewe amekiri katika makosa makubwa aliyofanya katika Maisha yake ni kuondoka Chadema. Kwa huu mwaka mmoja akina Halima wamekuwa na impact gani?. Dr Slaa, Masinji etc wameshindwa kukivunja chama sembuse Hawa akina Halima Mdee waliochuja?. Waende CCM au ACT .

Umesahau wale wanawake ambao 2020 walihma chama kwa visingizio vingi, Leo wapo wapi?. Alfred Rwakatale aliyehama chadema kwa mikwara yupo wapi leo?. Chadema ilishindwa kuvunjwa na jiwe sidhani Kuna wakuivunja zaidi ya Mungu mwenyewe.
 
Aliyewahi kufukuzwa uanachama akaenda mahakamani wakamrudishia uanachama wake ni nani??. Katiba ya chadema ni kama ya FIFA mambo ya chama/mpira hayatapelekwa mahakamani.
 

Mimi aliyeniumiza ni Hawa mwaifunga. Tabora mjini kwa Mara ya kwanza ilimchagua kuwa mbunge Tena kwa kura nyingi, akachakachuliwa mwishoni. Ila alikubalika Sana Tabora, angebaki kimya Bila kirubuniwa alikuwa nachukua Jimbo la Tabora mjini mchana kweupe 2025.
 
Hizi siasa wee aacha tu, ukikutana na huyo Rwakatare unaweza kudhani ni mweu flani au wale bodaboda wachafuuu.
 
Kumbe walikuwa hawajafukuzwa?!
sabaya juzi aliposhinda rufaa yake kwani alikuwa hajahukumiwa miaka 30 kabla ya rufaa?. The same na huku chadema, hawa covid 19 walifukuzwa na kamati kuu lakini wakakata rufaa kwenye baraza la chama ambalo Leo baraza limepiga kura matokeo yakatoka kuwa wamefukuzwa uanachama kwahiyo rufaa yao imefeli maana ake imetupiliwa mbali. Kukata rufaa unaweza kushinda pia lakini wao wameshindwa. Hapa usipoelewa basi akili zako nizaccm
 
Hawa wanawake nguvu waliokuwa nayo ilitokana na kuwa na platform ya CHADEMA; sasa hivi hawana platform, they are finished na kokote watakako kwenda watadharauliwa na kutoaminika!! Politically they are finished.

Na ngoja wakose na Ubunge Sasa ndio watakosa kabisa ushawishi. Tatizo walijiona juu ya chama na kwamba kwa majina yao chama hakiwezi kuwafukuza.

Lakini wakasahau chadema ni taasisi na ina wanawake wengi Sana. Sasa Ni muda wa kuwapa muda wanawake wengine wapate nafasi ya kufanya siasa.
 

Kweli kabisa mkuu.
 
CHADEMA walishindwa kukibomoa Dr Slaa, Zitto, Walid Kaburu na yule Makamu mwenyekiti bara wa kule Mpanda kibomolewe na wanachama wa kawaida tena waliokisaliti katikati ya vita ?

Kweli mkuu. Halafu watu wanashindwa kuona nyuvu ya Halima Mdee kabla ya kufukuzwa na baada ya kufukuzwa Chadema ikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…