Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
Shonza Yuko wapi? Unadhani huko CCM unaweza kuwa na freedom ya kuwaambia serikali ukweli? Mdee akienda huko atabaki kusifia tu na ndio influence itaisha milele!!

Wale viti maalum waliohama before 2020 elections wako wapi? Walisema wanadhalilishwa kingono, since wameenda CCM umewasikia?

Branding ukiiharibu hata unapoenda hauwi asset tena, wataishia alipo Dr.Slaa ama Mashinji irrelevant politicians.
 
CHADEMA walishindwa kukibomoa Dr Slaa, Zitto, Walid Kaburu na yule Makamu mwenyekiti bara wa kule Mpanda kibomolewe na wanachama wa kawaida tena waliokisaliti katikati ya vita ?
 
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
Zitto huyu huyu aliyepata Jimbo 1 Ile 2015?? Acha utani? ACT ipo Zanzibar tu tena ni sababu ya upepo wa Maalim tu otherwise kilikufa toka kina Kitila na Mghwira wakihame.

Na ndio maana 2020 licha ya kwamba alikua na mgombea alimuunga Mkono Lissu maana aligundua huku Bara CHADEMA ndio Kila kitu upinzani. He's a no match to Mbowe.
 
Shonza Yuko wapi? Unadhani huko CCM unaweza kuwa na freedom ya kuwaambia serikali ukweli? Mdee akienda huko atabaki kusifia tu na ndio influence itaisha milele!!

Wale viti maalum waliohama before 2020 elections wako wapi? Walisema wanadhalilishwa kingono, since wameenda CCM umewasikia?

Branding ukiiharibu hata unapoenda hauwi asset tena, wataishia alipo Dr.Slaa ama Mashinji irrelevant politicians.
Ni vigumu sana kujudge validity ya statements zako. Ni kweli kuwa wakihamia CCM huenda watakuwa ni kama tone tu ndani ya bahari kwa vile wametoka kwenye kibuyu, lakini huenda hali ikawa ni tofauti sana wakihamia ACT-Wazalendo. La muhimu ni kuwa tayari wana skillset kubwa kisiasa wakishehenzwa na knowldge kubwa ya mambo ndani ya CHADEMA. Let us wait for the time to tell the truth.
 
Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.

Hawana ubavu wa kukibomoa Chadema; politically they are done kwani hata huko waendako hawataaminiwa kwasababu wameisha katwa mikia!!! Zitto anaweza kuwachukua ACT kwani Halima na Zitto have a working relationship tangu walipokuwa wote Chadema. As far as their negative impact to Chadema , it is far fetched!
 
CHADEMA walishindwa kukibomoa Dr Slaa, Zitto, Walid Kaburu na yule Makamu mwenyekiti bara wa kule Mpanda kibomolewe na wanachama wa kawaida tena waliokisaliti katikati ya vita ?
Slaa alipoondoka CHADEMA hakufanya siasa za ushindani tena. Hatujui iwapo angeamua kuendelea na siasa za ushindani angefanya nini; yule ni mtu skilled sana.
 
KARIBUNI SANA ACT WAZALENDO ILI TUKIJENGE CHAMA HIKI KATIKA MISINGI BORA ZAIDI, KARIBUNI SANA.
Hakukuwa na sababu ya kujisafocate at that time while you know fact that the guy was a dictator!
#Walijisogeza ili maisha yaende..!
 
Ni muda wa kwenda mahakamani sasa for unfair dismissal.

Chama kilisema hawazitaki hizo nafasi za viti maalum baada ya uchaguzi na zisingekuwepo baada ya mwaka mmoja kama hakina mdee wasingezichukua.

Iweje leo wabadili gear angani na kuzidai nafasi na ruzuku waliyoikataa wenyewe. Ni wazi maamuzi ya hakina Mdee kipindi kile yaliangalia mbele kwa sababu mwenyekiti kigeugeu na ana watu wake wa mfukoni tayari.

Asubuhi na mapema mahakama ya kazi kufungua kesi ya pingamizi bunge lisipokee majina mapya mpaka kesi yao iamuliwe mahakamani.

Huu ndio uonevu wa mfumo dume.
 
Kwani katiba ya chadema inasema rufaa ya MTU inapaswa kusikilizwa baada ya mda ganii?? Maana ni zaidi ya mwaka sasa toka rufaa hiyo imepelekwaa?? Maana isijeikaonekana kikao hicho kisijeonekana ni batiriii.

C kamati kuu ikikaa ilichelewa kukaa sababu mwenyekit alikua nyuma ya nondo gaidi[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Hawa wanawake nguvu waliokuwa nayo ilitokana na kuwa na platform ya CHADEMA; sasa hivi hawana platform, they are finished na kokote watakako kwenda watadharauliwa na kutoaminika!! Politically they are finished.
Act Wazalendo haitawaamini?
 
Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
Na nyota ya usaliti itawafuata kokote
 
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA

Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:

View attachment 2221145

Halima Mdee: Kilichofanyika ni Uhuni, hata Mbowe (Freeman) mwenyewe anajua

John Mrema: Baada ya uamuzi wa Baraza Kuu, Katibu Mkuu ataandika barua kumuarifu Spika kuwa suala lao limehitimishwa; tutamwachia spika afanye uamuzi kama alivyosema anasubiri Rufaa zao
=======

Matokeo ni kama ifuatavyo;

Kanda ya Victoria (Wajumbe 44)
-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1
Jumla kura 44

Kanda ya Nyasa (Wajumbe 57)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 57
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 57

Kanda ya Unguja (Wajumbe 22)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 19
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 1
Jumla ya Kura 22

Kanda ya Pemba 15
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 12
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 15

Kanda ya Kusini 32

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 32
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 32

Kanda ya Pwani 47

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 45
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 47

Kanda ya Kati 44

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 44
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 44

Kanda ya Serengeti Wajumbe 41

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 41
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 41

Kanda ya Magharib Wajumbe 37

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 37
Wasiokubali 0
Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 37

Kanda ya Kaskazini Wajumbe 61

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 61
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 61

Kura 352 zimekubaliana na Kamati Kuu na kura 5 ndo zimepingana na maamuzi ya Kamati Kuu
Mungu ibariki Chadema
 
Yani kwa Ile statement ya Mbowe kwamba yeyote atakayesaliti chama hatavumiliwa nilijua kabisa Covid imekula kwao.

Anyway wameshatengeneza hela ya kutosha na Kama wamechukua mikopo dhamana ni mshahara wa ubunge hivyo serikali italipa huo mkopo.

Magufuli na Ndugai walituharibia sana bunge. Anyway wapumzike waende CCM Sasa waone Kama watapewa nafasi kule.
Wanaenda kwa Zitto,wanafanana nae kwa unafiki.
 
Back
Top Bottom