Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.