Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Nassary siku zake za kukaa chadema zinahesabika,hakuna chama hapa mjini ina intelejensia kali kama Chadema.
Alijaribu Zito kapelea mbali sana itakua hichi kidagaa?
Sema siku za mbowe zinahesabika kikao hicho kama kipo ndio mwanzo wa chadema kusambaratika rasmi na kubakia cha watu wa Kilimanjaro tu. Nassari sio mtu wa kuchezewa kirahisi ana nguvu kubwa Arusha na manyara. Wengi wanataka wabunge wao wakiwemo wa Jimbo la lema kuwa aige nassari mpenda maendeleo ya Jimbo. Chadema wakimbwaga wameru wanatimka chadema
 
Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.

Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.

Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo

Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Mbona Lowassa na na zero bado wana kadi za CCM na mumeufyata
 
Umalaya tu huu umeandika hapa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nassari ondoka kwenye hilo chama la wanafiki

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ili ajiunge na chama cha wala nchi..
wengine wamekula nchi hadi wanaanza kuitapika vipande vipande...
CCM inaangamiza wananchi wa Tanzania kwa kweli.
Kila fisadi ni mwanaCCM, awe bado yupo au alishatoka, lakini kila anayekuwa CCM maana yake ni "active fisadi"
 
Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuna anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

Panapo fuka moshi chini kuna moto,dogo si yule tuliemzoea. Hii ni zaidi ya tetesi maana ule utetezi alioupata pale bungeni baada ya kushitakiwa kwa kamati ya maadili bungeni si wakawaida. Yaani katetewa na wabunge almost wote,yaani pamoja na kijani.
 
Sema siku za mbowe zinahesabika kikao hicho kama kipo ndio mwanzo wa chadema kusambaratika rasmi na kubakia cha watu wa Kilimanjaro tu. Nassari sio mtu wa kuchezewa kirahisi ana nguvu kubwa Arusha na manyara. Wengi wanataka wabunge wao wakiwemo wa Jimbo la lema kuwa aige nassari mpenda maendeleo ya Jimbo. Chadema wakimbwaga wameru wanatimka chadema
Ana nguvu kubwa arumeru kwa wameru/rwa wenzake na sio arusha nzima kama unavyotaka kutudanganya wala manyara.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Usaliti haujawah kumuacha mtu salama

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Katika Thread kama hizi mimi huchagua kuhifadhi maneno!

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
JF haijawahi mwacha mtu salama. Muda utaongea...

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Akili kubwa imekataa kuongozwa na akili ndogo....
 
Wakuu Hilo linawezekana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom