Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Huyu dogo akili zake kama Lizabon tu. Nadhani payroll ya Lumumba huondoka na ubongo wa watu, kwa harakaharaka ni ngozi yako ya kichwa inakusaidia kuwaza kwasasa mdogo angu Troll

Sent from my SM-J710H using JamiiForums mobile app
Tena ni mtu mzima
 
Lumumba buana, yaani hapo ndo unadhani umeleta ubuyu wa maana sana. Peleka upuuzi huo fesibuku, huku wanakaa watu wenye akili zao
 
Huu usaliti utamtafuna huyu kijana,ccm itamtumia kama toilet paper then kumtupa kwenye dustbin

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Nassary siku zake za kukaa chadema zinahesabika,hakuna chama hapa mjini ina intelejensia kali kama Chadema.
Alijaribu Zito kapelea mbali sana itakua hichi kidagaa?
Na chama hicho hicho kinasema kimeibiwa kura! Mkuu unakulaga kunde za wapi?
 
Na mnaomba sana Mbowe atoke lakini hatoki.
Kazi yenu kuua vyama vya siasa na divide and rule.
Eti ACT inafanana na ccm. Ccm ipi ya sasa ama ya Nyerere. Hakuna mwenye akili atapenda kurudi kule kwa Nyerere pamoja na kwamba bado tunampenda sana mwalimu Nyerere kwa uzalendo wake na usafi wake wa jinsi alivyolinda mali zetu za asili.
 
Huu usaliti utamtafuna huyu kijana,ccm itamtumia kama toilet paper then kumtupa kwenye dustbin

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
kwani mnapoingia mkataba kila upande ukaridhika kwenye maslahi kuna shida gani!? Atakapomaliza kazi yao ni juu yao kuendelea naye kwa kazi ingine au kuachana naye. Usifikiri kwenye issue hizi mtu anaingia kichwakichwa. Halafu dogo kichwa chake kiko vizuri naturally. Ongeza na elimu aliyonayo
 
Ana nguvu kubwa arumeru kwa wameru/rwa wenzake na sio arusha nzima kama unavyotaka kutudanganya wala manyara.
poa Time will tell but mark my words Arusha na manyara hawana mpango wa kuendeshwa puta Na Kilimanjaro kwenye siasa baada ya kutimua slaa na sasa chadema kikitimua nassari chadema wajiandae kukiona cha mtema kuni manyara na Arusha sio koloni la Kilimanjaro la mbowe, godless lema and company Ukiwemo mleta mada
 
That's very true.

Lugha zake ni ishara tosha kwamba Joshua ni wa hovyo na moyo wake hayupo upinzani.

Kauli ya kuwaita wanaoikosoa serikali ya awamu ya 5 kwamba hawana akili ilitosha kumdelete.

Kitendo cha kujipanga na Mwakyembe kuulizwa swali la Richmond, pale ijukikane kwamba Nasari alijipanga na Mwakyembe kuchokonoa habari ili Mwakyembe ampigilie Lowasa msumari....angalia uharibifu anaoufanya huko Meru madiwani wamekaribia kuisha wote wanajiuzulu.
 
Kwani akiondoka kuna nini kwa kifupi nimeanza kumfahamu jamaa akiwa spika wa daruso msimamo wake kwa kweli hana tofauti na Zuberi namaanisha unafki mwingi muda ndio utaongea. But garbage must thrown away .
 
poa Time will tell but mark my words Arusha na manyara hawana mpango wa kuendeshwa puta Na Kilimanjaro kwenye siasa baada ya kutimua slaa na sasa chadema kikitimua nassari chadema wajiandae kukiona cha mtema kuni manyara na Arusha sio koloni la Kilimanjaro la mbowe, godless lema and company Ukiwemo mleta mada
Mkuu naona unaandika utafikiri unaijua Arusha vizuri nikwambie tu kwamba unaowachukia ndio hao hao wamejaa kwenye utumishi huko nchini mkoa unakotoka ndio leo imepata shule ya Advance level wenzako hizo shule zipo kila kata .

Hii dhambi ya kubaguana unayopenda kueneza ni mbaya sana ebu ntajie mkoa ambao utaenda uwakose hao watu unaowachukia leo hii ? Hizo shule zenu za kata wamejaa walimu wa kutoka kwenye huo mkoa unaoichukia nikwambie tu kwamba uchumi wa Arusha unakuzwa kwa asilimia kubwa na hao watu unaowachukia . Nyerere aliona mbali sana. Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki watu wale wanaochukiwa ata na rais kisa awakumchagua.. Amen
 
Ccm Ina Wakati Mgumu Sana Escrow
Inawawaka Sasa
 
Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti
Mbona wa2 wanapost v2 vya maana then mna-divert from the truth? Ndg ye2 amepost habar za siasa kumhusu Nassari sasa kibiti imeingiaje hapo?

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Finatina za lumumba

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Kama wamemvutia mpunga wa maana .sawa hata Mimi ningekubali.
 
Back
Top Bottom