Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema anajua nini, alisemaje?lema anajua ; mbona alishasema
Lema anajua nini,alisemaje?Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Ramli Chonganishi
well saidYule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuna anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Punga likishakuwa na hamu ya kuliwa huwa linaropoka tu ili lipate mtu wa kulitafunaBaraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Itafahamika tuBaraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Watamfukuza haraka sana.
Kama ni kweli mbona huyo brother edo hapelekwi mahakamani?Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuna anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Ila kuna mafisadi...Wata malizana
lakini ukweli Usemwe
Hakuna upinzani nchi hii
Hivi lowasa na sumaye kadi zao za CCM walirudisha CCM kabla ya kupewa za chadema ? Mnajua wamezilipia zaidi Ya miaka 10 na zaidi iliyobaki? Wengi hulipia kwa miaka lowasa Na sumaye Kama ushahidi ni kadi anzeni na lowasa na sumaye.kwa ushahidi wa kadi basi nao ni wanachama hai wA CCMNi kweli. Hizi taarifa nimezipata toka source ya karibu sana ya Nassari.
Never undermine JF. Never!
Based on true story.Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuna anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Kwani ulijua rugemalira na kina Singh Seth wangepelekwa mahakamani?? Au ngeleja kutema pesa za escrow?? Be patient muda utasema..Kama ni kweli mbona huyo brother edo hapelekwi mahakamani?
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app