waitunyegerage
Member
- Jan 6, 2015
- 6
- 0
Kwani kuna aya katika dini yeyote ulimwenguni inayofahamisha katika katiba ya nchi kuwe na kipengele cha Sanaa pamoja na uigizaji?? Kwani mulipotunga katiba yenu mulizingatia kila kilichotajwa katika Quran kwa mujibu wa aya zilivyokuja?
Mbona Quran inafafanua haki za kila mwanamme na mwanamke kwa misingi yake maalum nyinyi mukaweka 50-50 kama kweli mulizingatia Quran?
Hapa Waislamu tumedai hii Mahkama ya Kadhi lengo tupate chombo kinachotambulika kikatiba na katika dola ya nchi ili kiweze kuzisimamia hizi haki ambazo tayari zimetajwa na kufafanuliwa katika Quran. Na wasimamizi wa chombo hiki lazima wawe ni waislamu ambao wamebobea katika kuchambua, kusimamia na kutoa haki kwa Waislamu.
Hata kama munakosa elimu ya utambuzi wa haya mambo lakini rudi katika nadharia ya kawaida utaweza kujifunza na kujuwa hasa Waislamu hapa wanachotaka ni kitu gani.
Inashangaza kuona mada ikiwa jambo la waislam/uislam basi kila mtu atakuwa mchangiaji hata kama uelewa juu ya hilo jambo. Ningeomba ndugu zangu wasio waislam waifaham kwanza mahakama ya kadhi na shughuli, nchi vipi zinafuata huo mfumo na athar zipi wamezipata kwa kuwa na mahakama ya kadhi. Lkn kinachoonekana hapa ni kejeli na matusi bila kufanya mjadala kwa hoja.
Ikiwa ndiyo msimamo wa Waislam, basi naam, kura yangu itakuwa ni hapana, siwezi kwenda kinyume na Waislam wenzangu hata siku moja, kinachotuunganisha Waislam ni kamba ya Mwenyeezi Mungu.
Hiyo katiba siioni ina maana gani kama haitambui kuwa kuna Waislam na wana haki zao za msingi.
Hiyo MOU ipo kwenye katiba.?Mbona kodi za waislam zinagharamia uezeshwaji wa MOU.
Mbona kodi ya muislam imeliwa na ASKOFU KILAINI kupitia MKOMBOZI BANK ,banki ya kifisadi inayomilikiwa RC.
Mbona kodi za waislam zinagharamia uezeshwaji wa MOU.
Mbona kodi ya muislam imeliwa na ASKOFU KILAINI kupitia MKOMBOZI BANK ,banki ya kifisadi inayomilikiwa RC.
Wanalipa, kwani zinatumika kuendeshea kanisa.?He! Kumbe waislamu hawalipagi kodi! Wakamatwe mara moja!
sio kila kitu kuiga ya mwenzio,nchi nyingine kuna ndoa za jinsia moja na ni halali,mbona hatujaiga?we do what is in our best interest,..wakristo na wapagani wengi wanapinga hii mahakama kuingizwa serikalini,tusilazimishe tukaja kuleta vurugu huko mbeleni...mbona kuupinga ushoga tumekubaliana kwa pamoja!kama taifa,hakuna consesus kwenye mahakama ya kadhi kuanzia mitaani hadi bungeni,surprisingly hadi ikulu ilipinga hili swala.
Ndugu hivi bado huwa unaamini ahadi za wanasiasa wakati wa kampeni?Rejea ahadi za CCM wakati wa chaguzi, kama jambo haliwezekani kwa nini watoe ahadi wa kuanzisha mahakama? Point ya msngi IPO hapo
Hivi ni upungufu wa ufahamu wako ama bado tukugeiye muda huenda ikawa khalafu ukajafahamu pole pole kwa kuwa yarukhusika sio....!?
Zile alizo idhinisha yule Mmasai na jopo lake ziende kwenye ati Spitali za Makanisa na Skuli zake (MoU) zile hazina tatizo kwakuwa zachangiwa na "KODI" za Wakristo pekee sio....!?
Hizo dhihaka na kujivika kwenyu upogo kwa upande mmoya wa Watanzania(WAISLAAMU) wenzenyu sasa tamati ndo yakuijieni kwa kwasi.
Ahsanta na nipo kipembeni hapa.
Na ni wapi katika katiba hiyo pendekezwa imetaja Haki za msingi za WAKRISTO??????! Kwa hiyo Waislam ni bora kuliko Wakristo nchini mwetu??! NDIO maana Tangu mwanzo Serikali ikatenganishwa na DINI... (Haya mwalimu Nyerere aliyajua yangetokea.. DINI Moja kujiona bora ndani ya katiba...Hakuna nchi tena hapo)...Ila Serikali Imara isiyokumbatia DINI na kuziacha DINI zijiendeshe na kujiamlia mambo nje ya mfumo wa serikali ndiyo sahii Kabisa ili kupusha huu Mvurugano).. Watanzania tujitambue..! ili kulinda umoja wetu..!
Kwani nani ana mamlaka ya kutoa tamko la, kwa mfano, Wakristo? Tatizo ni nyinyi mnaotaka kuwapa Waislamu msemaji mmoja.Nani Ana mamlaka kutoa tamko kwa niaba ya ndugu zetu waislamu? Nani asikilizwe? Nani asisikilizwe? Na hapo ndo tatizo Lilipo.
masanja
Hili baraza hivi lishawahi kuongelea ugaidi wa wanaojiita waislamu?
Kwani nyinyi mlikatazwa kudai haki zenu za msingi?
Kama mna sheria zenu ambazo mnaona hamtendewi haki na mahakama za Serikali mngekaa kimya mpaka leo?
Kwa kuwa nyinyi hamjaomba na Waislam wawaige nyinyi? Kwendeni zenu huko!
Nimesoma posti yako naona haieleweki .kajipange upya hauna pointo
Huwezi Kuelewa Kwa Kuwa Uliishia Darasa La Nne Ukakimbilia Elimu Ya Kufuga Majini Na Utabiri Wa Nyota. Ndiyo Maana Hata Kuandika Hujui! NGOJA NIKUNUKUU "HAUNA POINTO" Ni Ushahidi Tosha Kuwa Hata Darasa La Nne Hukufika Hvy Uwezo Wako Wa Kufikiri Ni Mdogo Mno Mithli Ya Chembe Ya Haradani!
Ni sehemu ya ibada za kiislam wapewe ni haki yao vinginevyo damu itamwagika