Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Usiende mbali hapo ufaransa jana, ni kwa jina la Allah wameua watu wasio na hatia

Chuakachara,
Hili la Ufaransa na Ulaya nzima kuhusu kumtusi Rasul SAW lifungulie uzi
wake mahsusi tujadili.

Hapa acha tubaki na Mahakama ya Kadhi.
 

Serikali haina dini na Kanisa halina dini, au sio?
 
Chuakachara,
Hili la Ufaransa na Ulaya nzima kuhusu kumtusi Rasul SAW lifungulie uzi
wake mahsusi tujadili.

Hapa acha tubaki na Mahakama ya Kadhi.

Sawa hilo tuliache. Kuna post ya Kadhi nimekutumia isome kuna vitu nimeomba ufafanuzi toka kwako
 

hivi unaanzaje kuifananisha MoU na mahakama ya kadhi??? daaaaah
 

Chuakachara,
Soma historia ya Waislam Tanganyika.
 
Serikali haina dini na Kanisa halina dini, au sio?
wee kweli mshipa wa tafakuli umejifia! Aliye kwambia kanisa ni dini nani? mudi0†7? Hata wanga na wapazi wana mahakama zao nyie mmeshindwa mmebakia kuwasujudia wasio na dini wawapangie utaratibu wa ibada! Ndio nyie mnapoulizwa uislamu una nguzo ngapi jibu eti inategemea ukubwa wa msikiti! wala wabi wata weye ni kafir!
 

Wacha uongo, Shirika letu lipi tunaendesha kwa gharama zenu?

Nijuavyo mashirika yenu ndiyo tunaendesha kwa gharama zetu.
 

Naam, umejibu vyema sana wenzako wengi hawajui kuwa Kanisa halina dini.

Nnauhakika wanakusoma.
 
Dini nyengine na madhehebu mengine haya sheria ni kucheza ngoma tu na kukamuana sadaka. Waacheni Waislamj watekeleze dini yao na wengine waendelee kucheza Sebene katika ibada zao.
 
Hawa Waislamu hawataki kuelewa kwamba watanzania tulio wengi hatuitaji hiyo mahakama Kwanza inakandamiza wanawake sana na haina tija kwa taifa. Badalona wadai mambo ya msingi kama sera nzuri za maji. Ishu za mambo ya kilimo, afya nk.wao wanang'ang'ana na kuunda chombo cha hukumu
Jamani wenzetu Waislamu msioelimika tangu karne na karne tambueni kwamba Allah tu ndo anaweza kuhukumu na si binadamu
 

Historia hii haina maana, labda enzihizo, nafkiri ndio mana hiyo mahakama ya kadhi ilifutwa "kama kweli ilikuwepo" leo hii utamshawishi nani akubali kulipia gharama za ibada ya mtu mwingine. Kwanza ni aibu kulazimisha kuhudumiwa.
 
Naam, umejibu vyema sana wenzako wengi hawajui kuwa Kanisa halina dini.Nnauhakika wana kusoma.
wanao nisoma kina nani wee mbuguma? Narudia tena Kanisa abadan hata siku moja si deen! Tuondolee shoboka humu! Nimesema hata wapazi na wanga wamewazidi maono sababu wanazo mahakama zao na hawajawaomba serkali chochote! Nyie Mnawasujudia makafir wawapangie utaratibu wenu wa ibada! wao ndio walioleta uislamu huku? Mje basi msaidie kuchinja nguruwe pesa itakayo patikana mugharamie hiyo ukafir wenu! Sawa?
 
Na kiongozi yeyote wj serikali atakayethubutu kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba cha mtema kuni atakiona.lazima atuzalie mtoto hata kama ni mwanaume
 

Mkuu umesahau kwamba marufuku mwanamke wa kiislamu kuendesha gari, na ole watakaofumwa na michepuko ni kupigwa mawe hadi kufa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…