Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
sisi kina gogo la shamba tulishasema zamani kwamba mziki mwingine kwa serikali hii ya ccm ni Mahakama ya kadhi,tunawakumbusha tena ccm na serikali yake wasisahahu kwamba walihaidi kwamba suali hili litajadiliwa kwenye bunge la mwezi huu wa pili, tamko hilo lilitamkwa na Pinda kwenye kikao cha bunge la katiba
 
Sawa bwana MAKEMBETWA umeliona hili wengine bado wamelala.
 
Dini nyengine na madhehebu mengine haya sheria ni kucheza ngoma tu na kukamuana sadaka. Waacheni Waislamj watekeleze dini yao na wengine waendelee kucheza Sebene katika ibada zao.

Acha matusi, toa/jenga hoja. Kutukana hutashinda kesi mahakamani
 
Kilapalio,
Hutaelewa kwa kuwa ulichotanguliza ni ''choyo.''
Waislam na Uislam utanufaika.

Ungetanguliza mapenzi na udugu usingepata shida wala hofu.

Nadhani unajua kuwa Kanisa linapokea fedha kutoka serikalini
kuendesha mambo yake.

Je uko tayari kuona Waislam wanatengewa fedha na serikali
kwenda misikitini kuendesha miradi ya Kiislam?

Ukitaka zaidi katika haya Faiza Foxy tunae hapa yeye ni mtaalamu
wa MoU kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa.

Ni mabilioni ya shilingi...

Mambo haya yanataka akili iliyotulia si mambo ya ushabiki na kukimbilia
kusema.

Inataka tafakuri.
Inahitaji stahamala vinginevyo tutaiangamiza nchi.

Nchi iangamizwe mara ngapi
 
Hawa nduguzetu wanajaribu kulazimisha mahakama ya kadhi itambulike kikatiba kwakua wanajua fika kwamba wao wenyewe waislam wengi watakataa hizo hukumuzao na kukimbilia kwenye mahakama za serikali, na kwa maana hiyo hukumuzao hazita tekelezeka ndiomaana wanataka kuhakikisha serikali inatambua hukumuzao ili mtu akihukumiwa kwao asiwe na pakukimbilia. Mimi nawashauri kama wanavyo washauri watu wengine kwamba, waachane kabisa na huompango wakutaka eti mahakama yao ihudumiwe na Kodi ya watuwengingine ambao hawata pata Huduma milele katika mahakama hiyo. Jambo la maana ambalo wao wanalikwepa ni kugharamia wenyewe hiyo mahakama ya kadhi kwa faida yao wenyewe. Na muislamu atakae kataa hukumuzao na kwenda kutafuta haki kwenginge basi wampe Uhuru huo kwasababu wao sio wenye hukumu ya mwisho Mungu yupo atamuhukumu huyo muislamu atakae kataa kugaiwa thelusi ya Mali baada ya mumewe au mke kufa.
 
Lakini waislamu niwaambie tu kitu kimoja... watawale CCM, watawale CDM, watawale CUF, nk... mahakama ya kadhi kugharamikiwa na serikali haitawezekana...

Hivi hawa waajemi hawajifunzi?pote waliposhika hatamu ni laana tupu.Raia wa imani hiyo hiyo wanakufa na kuteseka kwa mamilioni Iraq,siria,libia,somalia,nigeria gaza.wasimuelewe Mungu vibaya.hajasema mahakama ya kadhi ndio njia ya uzima
 
Mohammed Said unasema mahakama ya kadhi ipo kabla ya ukoloni, sasa wakati huo nani aliwalipa, na kwa nini utaratibu huo usitumike sasa
 
SWALI KWA MOHAMED SAID & JAMIIFORUMS MEMBERS:

Hivi BAKWATA si ni NGO kama NGO zingine?

Lini BAKWATA ilipewa mandate ya kuwakilisha waislam wote Tanzania?

Lini Waislam wa Tanzania waliwapa mandate BAKWATA iwawakilishe?

What if Musilam hataki kuwafuata hawa BAKWATA je serikali itamshitaki au?
 
wanao nisoma kina nani wee mbuguma? Narudia tena Kanisa abadan hata siku moja si deen! Tuondolee shoboka humu! Nimesema hata wapazi na wanga wamewazidi maono sababu wanazo mahakama zao na hawajawaomba serkali chochote! Nyie Mnawasujudia makafir wawapangie utaratibu wenu wa ibada! wao ndio walioleta uislamu huku? Mje basi msaidie kuchinja nguruwe pesa itakayo patikana mugharamie hiyo ukafir wenu! Sawa?

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Naam, umejibu vyema sana wenzako wengi hawajui kuwa Kanisa halina dini. Nnauhakika wanakusoma.
 
SWALI KWA MOHAMED SAID & JAMIIFORUMS MEMBERS:

Hivi BAKWATA si ni NGO kama NGO zingine?

Lini BAKWATA ilipewa mandate ya kuwakilisha waislam wote Tanzania?

Lini Waislam wa Tanzania waliwapa mandate BAKWATA iwawakilishe?

What if Musilam hataki kuwafuata hawa BAKWATA je serikali itamshitaki au?
 
walislamu waliona jk ni mwenzao wakampa kura 2010 sasa walivyoachwa kwenye mataa hawaamini hadi leo!
_sasa mara hii anapita mkristo sijui itakuweje huko twendako na mahakama yenu

_changeni pesa muanzishe mahakama hizo kwa hela yenu ndio ushauri wangu

pumbavu sana waislam wa nchi hii, japo sio wote,walitembeza vitabu misikitini kuamasisha tumchague kikwete muislam mwenzetu ili atupatie mahakama ya kadhi eti,,,,,leo kikwete anamaliza awamu yake hamna cha MAHAKAMA ya kazi wala ya biashara,,,,,,,
 
Who is who? Nani Ana mamlaka kutoa tamko kwa niaba ya ndugu zetu waislamu? Nani asikilizwe? Nani asisikilizwe? Na hapo ndo tatizo Lilipo.

masanja

mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Naam, umejibu vyema sana wenzako wengi hawajui kuwa Kanisa halina dini. Nnauhakika wanakusoma.
kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?
 
Kilapalio,
Hutaelewa kwa kuwa ulichotanguliza ni ''choyo.''
Waislam na Uislam utanufaika.

Ungetanguliza mapenzi na udugu usingepata shida wala hofu.

Nadhani unajua kuwa Kanisa linapokea fedha kutoka serikalini
kuendesha mambo yake.

Je uko tayari kuona Waislam wanatengewa fedha na serikali
kwenda misikitini kuendesha miradi ya Kiislam?

Ukitaka zaidi katika haya Faiza Foxy tunae hapa yeye ni mtaalamu
wa MoU kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa.

Ni mabilioni ya shilingi...

Mambo haya yanataka akili iliyotulia si mambo ya ushabiki na kukimbilia
kusema.

Inataka tafakuri.
Inahitaji stahamala vinginevyo tutaiangamiza nchi.

Mimi sina shida kama ntakatwaa kodi ikaenda kujenga zahanati na kununua madawa vijijini na kujenga barabara zitakazowasaidia watz wote bila kujali Dini,kabila rangi na jinsiaa naomba tuongee kwa Facts hizi mahakama za kadhi zinamsaidiaje mtz ambaye sio muislamuu na ambaye amwamin Mungu kwa mfano? Na la pili hizo Mou zinazotengezwa na serikali kupelekaa hela kwenye mashirika ya Dini naomba uzitaje as far as in know kuna PPP privat And Public partnership za Hospital za Mission zinazopokea grants kutoka serikalini kuwahudumia watz wote regardless of their faith nimejaribu kuuliza na nikaambiwa kuwa mahakama ya kadhi inaendeshwa kwa misingi ya shariah law na tunaona Nchi nyingi zilizopo Afrika zinazoendeshwa kwa misingi ya shariah law ndio zenye worst Record of human rights eg Sudan na northern Nigeria kwahiyo Said kama mtz mwenzangu Bado haujaniconvince You can have your mahakama ya kadhi but not with Tax Money sorry!!!!
 
Naam, wala huzuiliwi na mtu kupeleka fedha pasipo na dini.

Hiv wewe bibi unajitambua? Hii mahakama ikipitishwa lazima upgwe mawe mpaka ufe sababu uko kinyume kabisa na taratibu zao, kwanza hutaruhusiwa kubonyeza hata hyo keyboard, we jishaue tu.
 
kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?
Ata mimi nashangaa kwakweli kwanini wasipangiane kama kuchinjana wachinjane wenyewe
 
pumbavu sana waislam wa nchi hii, japo sio wote,walitembeza vitabu misikitini kuamasisha tumchague kikwete muislam mwenzetu ili atupatie mahakama ya kadhi eti,,,,,leo kikwete anamaliza awamu yake hamna cha MAHAKAMA ya kazi wala ya biashara,,,,,,,
Kweli Waislamu Pumbavu nyeeeeee, cha kufanya hapa tuikatae Katiba, sasa hakuna kubembeleza mtu, kazi aliyofanya kikwete ni kuwaweka katika nafasi mbalimbali za Madaraka bila kujali sifa mlizonazo, ilikuwa mradi ni Mwislamu, hatutakubali tena kosa kama hili huyu ametupa funzo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom