gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Dini nyengine na madhehebu mengine haya sheria ni kucheza ngoma tu na kukamuana sadaka. Waacheni Waislamj watekeleze dini yao na wengine waendelee kucheza Sebene katika ibada zao.
Wacha uongo, Shirika letu lipi tunaendesha kwa gharama zenu?
Nijuavyo mashirika yenu ndiyo tunaendesha kwa gharama zetu.
Kilapalio,
Hutaelewa kwa kuwa ulichotanguliza ni ''choyo.''
Waislam na Uislam utanufaika.
Ungetanguliza mapenzi na udugu usingepata shida wala hofu.
Nadhani unajua kuwa Kanisa linapokea fedha kutoka serikalini
kuendesha mambo yake.
Je uko tayari kuona Waislam wanatengewa fedha na serikali
kwenda misikitini kuendesha miradi ya Kiislam?
Ukitaka zaidi katika haya Faiza Foxy tunae hapa yeye ni mtaalamu
wa MoU kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa.
Ni mabilioni ya shilingi...
Mambo haya yanataka akili iliyotulia si mambo ya ushabiki na kukimbilia
kusema.
Inataka tafakuri.
Inahitaji stahamala vinginevyo tutaiangamiza nchi.
Lakini waislamu niwaambie tu kitu kimoja... watawale CCM, watawale CDM, watawale CUF, nk... mahakama ya kadhi kugharamikiwa na serikali haitawezekana...
wanao nisoma kina nani wee mbuguma? Narudia tena Kanisa abadan hata siku moja si deen! Tuondolee shoboka humu! Nimesema hata wapazi na wanga wamewazidi maono sababu wanazo mahakama zao na hawajawaomba serkali chochote! Nyie Mnawasujudia makafir wawapangie utaratibu wenu wa ibada! wao ndio walioleta uislamu huku? Mje basi msaidie kuchinja nguruwe pesa itakayo patikana mugharamie hiyo ukafir wenu! Sawa?
walislamu waliona jk ni mwenzao wakampa kura 2010 sasa walivyoachwa kwenye mataa hawaamini hadi leo!
_sasa mara hii anapita mkristo sijui itakuweje huko twendako na mahakama yenu
_changeni pesa muanzishe mahakama hizo kwa hela yenu ndio ushauri wangu
Who is who? Nani Ana mamlaka kutoa tamko kwa niaba ya ndugu zetu waislamu? Nani asikilizwe? Nani asisikilizwe? Na hapo ndo tatizo Lilipo.
masanja
Kilapalio,
Hutaelewa kwa kuwa ulichotanguliza ni ''choyo.''
Waislam na Uislam utanufaika.
Ungetanguliza mapenzi na udugu usingepata shida wala hofu.
Nadhani unajua kuwa Kanisa linapokea fedha kutoka serikalini
kuendesha mambo yake.
Je uko tayari kuona Waislam wanatengewa fedha na serikali
kwenda misikitini kuendesha miradi ya Kiislam?
Ukitaka zaidi katika haya Faiza Foxy tunae hapa yeye ni mtaalamu
wa MoU kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa.
Ni mabilioni ya shilingi...
Mambo haya yanataka akili iliyotulia si mambo ya ushabiki na kukimbilia
kusema.
Inataka tafakuri.
Inahitaji stahamala vinginevyo tutaiangamiza nchi.
Naam, wala huzuiliwi na mtu kupeleka fedha pasipo na dini.
Ata mimi nashangaa kwakweli kwanini wasipangiane kama kuchinjana wachinjane wenyewekwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?
Kweli Waislamu Pumbavu nyeeeeee, cha kufanya hapa tuikatae Katiba, sasa hakuna kubembeleza mtu, kazi aliyofanya kikwete ni kuwaweka katika nafasi mbalimbali za Madaraka bila kujali sifa mlizonazo, ilikuwa mradi ni Mwislamu, hatutakubali tena kosa kama hili huyu ametupa funzo.pumbavu sana waislam wa nchi hii, japo sio wote,walitembeza vitabu misikitini kuamasisha tumchague kikwete muislam mwenzetu ili atupatie mahakama ya kadhi eti,,,,,leo kikwete anamaliza awamu yake hamna cha MAHAKAMA ya kazi wala ya biashara,,,,,,,