OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Njaa mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radhi kwani kadanganya au kasema ukweli kwa nini watanzania tunakumbatia uongo na kuuacha ukweli. Kumfurahisha mtu na kusingina ukweli kunasaidia nini?Huku sasa ni kujipendekeza kuliko pitiliza. Anaestahili kuombwa radhi ni huyo Profesa kwa kudhalilishwa na wizara.
Amandla...
Hao Baraza siyo lazima wawe wasomi. Ni MATAGA tu wanateuliwa Kisiasa na kuwekwa hapo
Hili ni jambo la aibu kwa nchi yenu .Wangempa masaa 12 tu awe ashaomba radhi,akuna kucheka na vibaraka wa Covid.
Baada ya kumshawishi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.Hata akiomba bado haifuti ukweli aliousema juu ya hali iliyopo sasa hivi. Halafu alichokisema Prof. kina tatizo gani maana ametoa tahadhari na hatua za kuchukua kwa umma anaouongoza maana yeye ndiyo kiongozi wao Prof katimiza wajibu wake hao baraza wana matatizo watu wenyewe wanakutana mara mojamoja hawana direct contact na wanafunzi na watumishi wengine kama management ya chuo na wanafunzi ambao hawa wapo kwenye risk kubwa.
Prof Bisanda kongole kwa ujasiri wako wa kuusimamia ukweli hata katikati ya hofu ya wenye mamlaka
The World’s Greatest Need—The greatest want of the world is the want of men,—men who will not be bought or sold; men who in their inmost souls are true and honest; men who do not fear to call sin by its right name; men whose conscience is as true to duty as the needle to the pole; men who will stand for the right though the heavens fall.—Education, 57 (1903).
Muda mwingine bora iwe hivyo tu kuliko kushiriki dhambi ya uongo, atakuwa amefanya jambo la busara sana kukaa pembeni hata hivyo alilenga kuwaandikia watu anaowasimamia kwenye taasisi yake.Baada ya kumshawidhi aukane waraka wake kushindikana sasa wameamua kumuamuru kuomba radhi.
Huyo hawezi kuomba radhi. Atakachofanya ni kuwabidhi resignation letter usiku huu. Barua hiyo wataikataa na badala yake kutangazwa kwamba ametenguliwa.
Pengine labda Prof. alidhani sera na maelekezo ya uatoaji wa taarifa ulihusu kile kirusi cha awali,hiki kipya ni jukumu la kila mtu/taasisi/jumuiya kwa nafasi yake/zao kuakikisha ana/zina/jilinda na kuwalinda wengine.Kazi nzuri. wizara ya afya ndio yenye jukumu la kutoa taharifa kwa wananchi