Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe umetokea wapi?Na ATUMBULIWE KABSA .....yeye nan wa kutoa waraka mzto kama ule wakat hana ....mamlaka ya kufanya ivo
Ujinga mzigo sana, una uhakika alikuwa hana mamlaka ya kutahadharisha taasisi anayoiongoza juu ya ugonjwa mnaoficha kwapani?Na ATUMBULIWE KABSA .....yeye nan wa kutoa waraka mzto kama ule wakat hana ....mamlaka ya kufanya ivo
Vibaraka wachache wa watawala mnaifanya nchi yote ionekane ya watu hamnazo!Professor hayuko makini
Ni kweli ni vyema majina yao yawekwe wazi.Hawa Baraza ni wasomi kweli, au ni jopo la wanasiasa?
Usomi maana yake kusema kweli daima hata kama kisiasa haikubaliki.
Prof Bisanda caled a spade a spade na pengine tahadhari yake ingalau imeokoa maisha ya mtu mmoja.
Tupeni majina ya Baraza la Vyuo Vikuu tuwajue kwa unafiki wao.
Sidhani kama kuna mtu amesema tuna uwezo wa kuwa locked down. Kinachotakiwa na wengi tu tamko la serikali na taasisi zake kuhamasisha raia kujikinga na gonjwa hili, namna ile tulivyofanya mwanzo bila kuwa kwenye lockdown.Mnavyopiga kelele mtasema huwa hamuendi makazini shubamiti zenu..!! Huna ata uweze wakujilockdown lakini unashadadia kama hela yakuishi ata mwezi unayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akiomba radhi meseji senti endi delivadiHata akiomba bado haifuti ukweli aliousema juu ya hali iliyopo sasa hivi. Halafu alichokisema Prof. kina tatizo gani maana ametoa tahadhari na hatua za kuchukua kwa umma anaouongoza maana yeye ndiyo kiongozi wao Prof katimiza wajibu wake hao baraza wana matatizo watu wenyewe wanakutana mara mojamoja hawana direct contact na wanafunzi na watumishi wengine kama management ya chuo na wanafunzi ambao hawa wapo kwenye risk kubwa.
Prof Bisanda kongole kwa ujasiri wako wa kuusimamia ukweli hata katikati ya hofu ya wenye mamlaka
The World’s Greatest Need—The greatest want of the world is the want of men,—men who will not be bought or sold; men who in their inmost souls are true and honest; men who do not fear to call sin by its right name; men whose conscience is as true to duty as the needle to the pole; men who will stand for the right though the heavens fall.—Education, 57 (1903).
Ukweli ndiyo Priciple No 1 ya msomi yeyote.Mimi namshauri asiombe Rashi kwasababu ameusimamia ukweli na huo ndio uzalendo na upendo kwa watanzania. Awaache hao wanaendelea kujikomba as if wao hawana watoto humo mavyuoni, watakapowapelekea hili gonjwa majumbani mwao, ndipo akili zitakapowakaa sawa.
Prof Bisanda usiombee radhi UONGOBaraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho kuhusu ugonjwa wa Corona. Baraza limebaini kuwa yalikuwa maoni binafsi na alikosea kutumia nembo za Serikali
Aidha imedaiwa taarifa ya Prof. Bisanda imeonekana kukinzana na Sera ya Serikali juu ya tahadhari dhidi ya #COVID19 pia haikuwa na takwimu za kuthibitisha uhalali wa baadhi ya taarifa hizo
Baraza limeagiza wanafunzi na wafanyakazi wa chuo waendelee na kazi na masomo kama kawaida. Pia limeomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza