Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe.
Yaani ningekuwa huyo professor ninge resign hicho cheo ndani ya masaa matatu. Hilo Baraza ikikupendeza Mungu wapukutike kwa Pneumonia wote. Professor alisema ukweli na ukweli utamuweka huru milele. Wahadhiri wamekufa wengine familia karibu yote imeteketea. Wahandhiri wameugus na kuponea tundu la sindano. Waache Siasa kwenye mambo hatarishi.Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho kuhusu ugonjwa wa Corona. Baraza limebaini kuwa yalikuwa maoni binafsi na alikosea kutumia nembo za Serikali
Aidha imedaiwa taarifa ya Prof. Bisanda imeonekana kukinzana na Sera ya Serikali juu ya tahadhari dhidi ya #COVID19 pia haikuwa na takwimu za kuthibitisha uhalali wa baadhi ya taarifa hizo
Baraza limeagiza wanafunzi na wafanyakazi wa chuo waendelee na kazi na masomo kama kawaida. Pia limeomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
Lilikuwa jambo jema sana tujue majina ya hao wendawazimu wanaounda Baraza la Chuo Kikuu Huria.Ni kweli ni vyema majina yao yawekwe wazi...
Mjinga wewe.........yule kazi yake ni administer chuoni ......but yuko chin ya wizara so ...amevuka madaraka yake
Na tamko la Mganga Mkuu wa Serikali nalo vipi?yeye daktari mpumbavu tu
Yeye daktari wa nini?yeye daktari mpumbavu tu
Jiwe atamuondoa Tu tena kama amekasirika Sana basi uhai WA Bisanda uko mashakani.Yaani ningekuwa huyo professor ninge resign hicho cheo ndani ya masaa matatu. Hilo Baraza ikikupendeza Mungu wapukutike kwa Pneumonia wote. Professor alisema ukweli na ukweli utamuweka huru milele. Wahadhiri wamekufa wengine familia karibu yote imeteketea. Wahandhiri wameugus na kuponea tundu la sindano. Waache Siasa kwenye mambo hatarishi.
Alivyosema ukweli je wewe umeshachukua tahadhali au unachangamana na watu huku unataka wengine wasichangamane?Aombe radhi kwa kusema ukweli?? Nonsense!
😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷
Wewe kufuatia taaarifa yake kwa wanafunzi, umechukua tahadhali gani kwa ajili ya afya yako?Yeye daktari wa nini?
Acha kukurupuka mkuu, yaonekana hata hujui tunamzungumzia nani Ila kwasababu ni mataga umekurupuka tu na kuchangia😆😆
Katika vitu Kama hivi ndio upeo wenu hupimwa, sasa jiclassify una upeo wa aina gani!
Nimechukua tahadhari hata kabla sijatahadharishwa. Kwani Hali halisi siioni?Wewe kufuatia taaarifa yake kwa wanafunzi, umechukua tahadhali gani kwa ajili ya afya yako?
Au upo mtaani unasambaza corona?
Jifungie mwenyewe na sio ulazimishwe.
😅Umenikumbusha nadharia ya Paka wa Schrödinger..Sasa baraza linataka mambo yaendelee kama kawaida, wamejuaje kama alichokisema Prof. hakipo?
Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho kuhusu ugonjwa wa Corona. Baraza limebaini kuwa yalikuwa maoni binafsi na alikosea kutumia nembo za Serikali
Aidha imedaiwa taarifa ya Prof. Bisanda imeonekana kukinzana na Sera ya Serikali juu ya tahadhari dhidi ya #COVID19 pia haikuwa na takwimu za kuthibitisha uhalali wa baadhi ya taarifa hizo
Baraza limeagiza wanafunzi na wafanyakazi wa chuo waendelee na kazi na masomo kama kawaida. Pia limeomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
Pia soma
- Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
- Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)
Sijaona hata point moja ya msingi uliyoongelea,Alivyosema ukweli je wewe umeshachukua tahadhali au unachangamana na watu huku unataka wengine wasichangamane?
Utakuta hapo ulipo upo kwenye kilabu cha pombe umechangamana wala huna barakoa na hutaki kubaki nyumbani kwako ila unashabikia taarifa ambazo hata wewe unaweza kuchukua tahadhali binafsi bila kulazimishwa.
Anza kujifungia wewe mwenyewe kwa ajiri ya afya yako siku ukitoka utakuta ugonjwa umeisha,
Na wale wasio jifungia utakuta wamekufa wote.
Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anyeamini kuwa tz hakuna covid 19? Mbona tunajua kuwa baadhi ya viongozi wakuu wamepewa chanjo ya mchina kimyakimyaBaraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021